Dawa ya kiherehereNimempigia simu demu wangu akapokea bwana ake mwingine na kuanza kunihoji"wewe ni nani wampigia mpenzi wangu simu??? Nikamjibu"Sorry mimi ni doctor mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza dozi zake za ARV kila muda ukifika"
Yule mwanaume leo tumemzika
Huko kunaitwa kumkoma nyani gilani.....Hahahahaha