Hii tabia si nzuri

Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??

Mnaboa sana...
pata chupa ya mvinyo kisha mfunge mapazia maana kesho ni siku ingine....

OrtoPilot
 
16e16ef36386daed1dbd1f12e260284f.jpg
 
Demu wangu akiomba nauli nauli peke yake maana wakisema nauli wanatarajia wekundu au 5000 sasa nampa 500 iliyosimama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom