Search results

  1. Amani mfaume

    Wakuu nawasilisha kwa habari hii ya wizi uliotutokea jana

    Kama ilivyo kawaida yetu kwa wanao fatilia bandiko letu huwa tuna jihusisha na uuzaj wa bidhaa za Electronics. Juzi majira ya saa 4 asubuhi tulipokea oda ya mteja alie hitaji Tv na ya Tcl smart pamoja na redio alidai ametufatilia mda mrefu hapa JF nasiku ya juzi ilikua siku sahihi ya kuagiza...
  2. Amani mfaume

    Dawasco fanyeni hima maji yanapotea bure Tabata Mwananchi huku bado shida za maji hazijatatuliwa

    Hii hali nimekutana nayo maeneo zilipo ofisi za kampuni ya mwananchi (MCL) tabata mwananchi njiani kabisa kuna uvujaji mkubwa wa maji ukipita kama unaenda Ubungo pia kuna maji mengi yana vuja pia napia barabara ya kwenda tabata kisiwani maji yamejaa mpka njia haipitiki watu wanalazimika kupita...
  3. Amani mfaume

    Kwa anae hitaji shamba na kiwanja

    Shamba lipo chanika homboza hekari moja na nusu bei ni milion 11 na nusu lina hati kila kitu hakuna madalali kwa anae hitaji piga simu namba 0686465857/ 0672852415 Kiwanja kipo dondwe sq m 16 kwa 25b ei ni milion 4 na laki 5 vyote vina hati. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Amani mfaume

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Tuna bidhaa za majumbani na ofisini tupo Kariakoo Msimbazi karibu na DDC hall (manyema St.) tuna fanya free delivery ndani ya Dar es Salaam pia tuna tuma mikoa yote Tanzania kwa umakini ulio tukuka karibu ujiunge na familia ya nafuu electronics ufurahie huduma bora na zenye uhakika. Kwetu mteja...
  5. Amani mfaume

    Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

    Majiko ya umeme na gesi ya kisasa TV, REDIO , home theater music system Feni AC za KISASA Chain saw water pump na majenereta Meza za TV na za kawaida za kisasa Water dispenser, Brenda, juicer machine Mashine za popcorn Mashine za Icecream Pasi za Umeme za kisasa Solar panel na betri zake...
  6. Amani mfaume

    Msaada wakuu; Mke wa mtu anasema ana mimba yangu

    Wiki mbili zilizo pita nilichepuka na mwanamke moja pande za tabata mwanmke huyu tulijuana tokea 2014 yeye akiwa moshi mimi DSM. Tulijuana kupitia mitandao ya kijamii ikawa WhatsApp kwny grp moja lilikua la watu wakijijini kwetu tukaja kupotezana tokea mwaka huo mpk mwaka huu January ndio...
  7. Amani mfaume

    Trafic mnao simama Mwandege kiwanda cha Bakhresa acheni rushwa

    Nimasikitiko makubwa kuona trafic wale wanapokea rushwa wazwaz nilikua nikihadithiwa ila leo nimethibitsha kwa macho yangu japo sikuchukua picha. Trafic alisimamisha gari konda akamwambia dereva muda wao huo konda akampa dereva 5000 na dereva akampa yule askari bila maelezo akaondoka...
  8. Amani mfaume

    Halotel siwaelewi

    Nawasilisha dukuduku langu toka mtandao wa Halotel jana nilipata mshangao baada yakumjibu sms mwenza wangu ndipo nikawa napata sms kutoka kwny namba tofauti zikidai nime watumia ile sms na kuniuliza we nani?. Nikashindwa kuelewa kimetokea nn pia nikaanza kutumiwa sms na namba nyngn...
  9. Amani mfaume

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kurudisha namba au sms

    Wana jamvi, Kwanza habari zenu, pili naomba kielekezwa jinsi ya kurudisha namba au sms kama umezifuta kwa bahati mbaya.
Back
Top Bottom