Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,263
- 1,397
Nawasilisha dukuduku langu toka mtandao wa Halotel jana nilipata mshangao baada yakumjibu sms mwenza wangu ndipo nikawa napata sms kutoka kwny namba tofauti zikidai nime watumia ile sms na kuniuliza we nani?. Nikashindwa kuelewa kimetokea nn pia nikaanza kutumiwa sms na namba nyngn ambazo aizijui pia wakituma sms km wa natumia watu wao ambao wana namba zao nikajaribu kupiga Halotel huduma kw wateja wakawa hawapokei cm na nitabia yao ya kutopokea cm mpk sasa bado sms zina miminika