Search results

  1. Amrish Puri

    Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

    Siyo kweli kote ninakooshea mimi iwe ubungo,mabibo,sinza,kawe,keko n.k ni chini ya hiyo hela otherwise kama unapandisha juu ya winchi
  2. Amrish Puri

    Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

    Wakati mitaa mingine ndani na nje wanaoshea 4000/=
  3. Amrish Puri

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Kumbe watu mnapenda mwendokasi!!![emoji28]ajali zikitokea lawama zote anapewa suka,anyway speed thrills but kills.Safari njema mkuu karibu Tanzania ila kuna joto kali sana
  4. Amrish Puri

    Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

    Patron wa establishments afu ukajuta kwenda, duh!!!
  5. Amrish Puri

    Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

    Ulienda kama nani, first year au continuing student??? Maana kiingilio ilikuwa ID
  6. Amrish Puri

    Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Sina uhakika sana na hili, inawezekana picha za jengo zimechezewa ili kuleta taharuki!! Time will tell
  7. Amrish Puri

    Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

    Dah watu mmefukunyua uzi wa 2013[emoji28][emoji28]
  8. Amrish Puri

    Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Nimecheka kwenye kibumbu[emoji28][emoji28]
  9. Amrish Puri

    Dk. Shika asipokuwa makini katika hili atakuja kuishi maisha magumu hapo baadae

    Nani alikwambia kuwa babu wa loliondo ana maisha magumu??
  10. Amrish Puri

    sorry Makonda kupanda zaidi ya hapo alipo fika itakuwa dhihaka

    Pambana na hali yako na wewe upande acha majungu kama mtoto wa kike!!!
  11. Amrish Puri

    Mimi ni dereva wa Uber natafuta boss wa kuniajiri

    Class c flat au c gani hiyo?
  12. Amrish Puri

    Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

    Siyo lazima maisha kuyaendesha with the same as they did during the age if adam n eve!! Sometime just go anticlockwise and things will sound better.As of me so far, let him start with anything he desires whether a house or a town baby walker from Japan
  13. Amrish Puri

    Haya ndio majengo yasiyo na mfano ulimwenguni

    Dah akijibu hizi naomba uni tag mkuu! Hii ni ilimu bila mipaka
  14. Amrish Puri

    Msaada wa materials ya Literature in English

    Hakuna syllabus ya as literature! Ipo ya english general na kama wewe ni mwalimu wa hilo somo si uanze ku compile notes zako mkuu???
Back
Top Bottom