Search results

  1. KIBURUDISHO

    KAHAMA: Waliochangia harusi wapigwa changa la macho, wamekutwa ukumbi umepambwa ila wanaharusi hawakufika

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa hii maana bi harusi alikuwa utamu wangu
  2. KIBURUDISHO

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naombeni msaada wa dawa nzuri iwe ya mitishamba au ya kitaalamu kwa mtu aliye na tatizo la minyoo sugu linalopelekea akijikuna mwili unavimba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KIBURUDISHO

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naombeni msaada wa dawa nzuri kwa mtu aliye na tatizo la minyoo sugu linslopelekea akijikuna mwili unavimba Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KIBURUDISHO

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naombeni msaada wa dawa nzuri kwa mtu aliye na tatizo la minyoo sugu linslopelekea akijikuna mwili unavimba Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KIBURUDISHO

    Msaada kupokea mzigo au parcel toka nje ya nchi kupitia DHL

    Wao wako very fast sana kwenye shiping haizidi wiki moja mzigo unao mkononi
  6. KIBURUDISHO

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Wazoefu nisaidieni mzigo wangu tokea tarehe 30/07/2019 Unaonyesha uko mzee Ramaphosa tatizo litakuwa ni nini linalopelekea mzigo kutoendelea na safari?
  7. KIBURUDISHO

    Ndugu wa damu anatafutwa na nduguye

    Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake.Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
  8. KIBURUDISHO

    Thomas mtoto wa Askari Polisi Benard Samwel Mwakitalu, anatafutwa

    Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake. Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
  9. KIBURUDISHO

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Natumai watakuwa kwenye maandalizi ya kukusanya virago vyao
  10. KIBURUDISHO

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Nilikuwa mteja wa tala hapo awali ila sikuweza kuitumia kama miezi 3 hivi sasa wiki kama mbili sasa hivi kila nikijaribu kuingia kuomba kamkopo inanikatalia inanipatia ujumbe wa OMBI LAKO LINASHUGHULIKIWA UTAPEWA UJUMBE WA OMBI LAKO KUKUBALIWA sasa yapata wiki mbili na nilikuwa mrejeshaji mzuri...
  11. KIBURUDISHO

    Natafuta gari aina ya beetle (mgongo wa chura)

    Fanya haraka tukutane huku
  12. KIBURUDISHO

    Nataka kusafiri kutoka Mwanza kwenda Morogoro kwa pikipiki sanlg 125, naomba ushauri kitaalam

    Mnamtisha tu kama una uzoefu na pikipiki unatembea tena uzuri pikipiki hakuna cha hamsini wala nini ni gia gia
  13. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Mkuu Bavaria naona kama kuna kautofauti kidogo au ni macho yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Omela wea dhi nindo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Mkuu nakushukuru sana tena sana nimehangaika sana kupata jina la hiyo rangi bila mafanikio umenisaidia sana. JF IDUMU MILELE Sent using Jamii Forums mobile app
  16. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Nashukuru sana mkuu nikienda kwa wachanganyaji wa rangi za magari nikawaambia nahitaji rangi inayoitwa hivyo itatosha au hadi watahitaji niwapatie na namba(code) za hiyo yangi Sent using Jamii Forums mobile app
  17. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Heshima iwe kwenu ninahitaji kupaka rangi kakiberiti kangu sasa ktk pitapita mitandaoni nikitafuta rangi gani itakayotuliza mapepo yangu nikakutana na rangi hiyo hapo pichani Sasa tatizo limekuja nitamuelekezaje fundi maana fundi kaniuliza una namba ya hiyo rangi?? nikakwama nikatafuta app...
  18. KIBURUDISHO

    Bado nahitaji haka kagari

    Suzuki samurai Mwenye nako ajitokeze tufanye biashara ila vizuri zaidi kama katapatikania Maeneo ya Mwanza Mara Simiyu na Shinyanga
  19. KIBURUDISHO

    Ninahitaji hizi taa za LED

    For suzuki samurai Black 7" 12V 24V LED DRL Headlights with Daytime Running Lights For Lada urban Niva 4x4 Projector Headlamp US $53.81 7% OFF|For suzuki samurai Black 7" 12V 24V LED DRL Headlights with Daytime Running Lights For Lada urban Niva 4x4 Projector Headlamp-in Car Light Assembly from...
Back
Top Bottom