Search results

  1. yuga

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Picha kwenye app ya jamii forum zinazingua hazionekani mwenye app ya zamani anitumie
  2. yuga

    Uagizaji wa bidhaa mtandaoni

    Mliyowahi kuagiza bidhaa mitandaoni naombeni uzoefu ili nifikiwe na mzigo wangu kwa urahisi na uaminifu nifanyeje? Na vitu gani nahitaji kuwa navyo ili niagize laptop Na je nikiagiza laptop iliyopo kwenye picha pale kwenye tangazo itakuja yenye specification exactly hizo hizo au kuja...
  3. yuga

    Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Maskini anazaa watoto wengi ili kukompasate watakao kufa
  4. yuga

    Niende Newalla au Songea?

    Usidahau wamakua kaka wapo njema sema wachafu
  5. yuga

    Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

    60% ya Quran imetoka kwenye biblia na kuna maeneo ukisoma kwenye qurani inakuambia ukasome biblia sasa unapoleta story za kufikirika uje na hoja. Kwanza dini zimekuja kututenganisha hapa duniani
  6. yuga

    Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

    Yule atakuwa alipelkwa kufanya kazi maalum nje ya nchi itakuwa ni jasusi
  7. yuga

    Chakula cha usiku kiliwe kistaarabu na si kwa kelele mpaka kuamsha watoto

    Mwiko unapozunguka ndani ya chungu kuna kelele huwa zinatoka mkuu. Ila sasa kelele zinanoga kama chungu kikiwa chepesi ila lichungu likiwa lizito limejilalia tu alafu linakupigia kelele piga makofi hiyo ng'ombe isikupigie kelele.
  8. yuga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Singida leo wamezingua sana
  9. yuga

    Ajira portal ni tatizo

    Hebu na ww acha ubishi mkuu huo ndo ukweli kwani hujaoma kijana mdogo alivyomtoa jasho professor wa sheria na dogo ni degree holder. Ukiambiwa kitu usibishe wafanyakazi wengi wa serikali wenye nyadhifa kubwa kubwa wana midomo tu lakin ukija kwenye suala la kutoa mawazo au fikra za maana hakuna...
  10. yuga

    Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

    We jamaa nimekwambia acha kutupatia story za wazungu zilizotungwa zikawekwe shuleni za kiafrika kuwazuga fuatilia historia ya africa ya ukweli utajua vizuri mambo yakoje Hivi ww duniani hapa nchi zote zilizoendelea hazitumii mfumo wa democrasia hata hiyo marekani unayoiona kwa jicho la kwaida...
  11. yuga

    Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

    Hivi ww unajua unachokiongea au inajua unachokiandika au unaandika tu kisa una smartphone ya kuingia JF. Au kisa umesoma history ya kubumba ile ya darasani take care rudi darasani mkuu
  12. yuga

    Cutt of point to university

    Samahani wadau. Kwenye vigezo vya chuo kinachoangaliwa cutt off point ziwe 4 au principal pass mbili. Kwamba ukiwa na CEF unaenda? Au lazima uanzie DDF? CE=4 and D+D=4. Je mtu huyu wa CEF anaenda?
  13. yuga

    Marafiki zangu nimewaambia nchi yetu ipo hatarini kutoweka wamenicheka sana

    Watu wa CCM mnajifariji sana. Sasa km vyombo vya ulinzi havijalala mbona bandari imeuzwa viko macho. Hebu gikiria unachokiongea mkuu.
  14. yuga

    Waziri wa ofisi ya Rais na Utawala Bora ongea na Maafisa Utumishi na Waziri wa Elimu, HESLB inatutesa watumishi wa Umma

    Hivi kuna mtu amewahi kupewa deni ila hajawahi kusomea mkopo wa heslb
  15. yuga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani jamii forum siku izi inagona kuonesha picha kwangu shida nn nimeupdate lakini wapi msaada wenu wangwana
  16. yuga

    Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Nashukuru nimekuwa wa kwanza kupost. Ila hawezi kuwa na akili akakubali kukukorogesha mavi bila ww kujua. Huyo hana akili hata kidogo. Angekuwa na akili asingeweze kujaribu kuubadili hata chembe uasili wake. Angekuwa na akili asingeweza kukubali kutobolewa tundu lingine tofaut na lile alilopewa...
  17. yuga

    Kwani Kosa la January Makamba na Nape ni lipi?

    Nape wizara yake vifurushi vimepanda toka awe waziri nafikiri anatukomoa wananchi ndo maana. Makamba umeme unakata sana we fuatilia umeme kukata ndo maana
  18. yuga

    Natafuta Motherboard ya HP Pavilion G6

    Wangwana Naomba kujua kwa Dar es salam wapi au duka gani naweza pata motherboard ya hp pavilion g6. Msaada wenu jamani wangwana. Ikiwezekana na mawasiliano mnipe kabisa
  19. yuga

    Natafuta Motherboard ya HP Pavilion G6

    Wangwana kichwa kinajieleza hapo. Naomba kujua kwa dar es salam wapi au duka gani naweza pata motherboard ya hp pavilion g6. Msaada wenu jamani wangwana. Ikiwezekana na mawasiliano mnipe kabisa
Back
Top Bottom