Search results

  1. B

    INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

    Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi. JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI? Kwanza vyaweza kutumika kama mapambo ya ndani yaani interior decor ama matumizi halisi, mfano kikombe...
  2. B

    Kwanini tunasema hii ni awamu ya sita na si ya tano?

    Kuna moja ya thread jukwaa hili, imeandikwa humu ikiwa na hoja ya kwamba awamu ya Sasa serikali ya Mama Samia ni ya awamu ya tano yaani muendelezo wa mtangulizi wake. Yafuatayo ni maelezo mafupi juu yakijibu hoja hiyo. Ni vyema kutofautisha kati ya awamu na muhula ili usipate mkanganyiko; 1...
  3. B

    Ya Samatta na Aston Villa?

    Nimeona ongezeko kubwa la manunuzi ya jezi za Aston Villa, binafsi sina tatizo na soko huria ila ingekuwa vyema, kama ambavyo jezi za Villa zinavyoshika kasi kimasoko basi jezi ya Samatta ya taifa nayo iwe hvyo. Maana ushabiki na msukumo wetu ni kwa Samatta kama Mtanzania zaidi kuliko Samatta...
  4. B

    Do you know the legal basis of Fatuma Karume's claim?

    Collins v Wilcock [1984] 3 All ER 374 A police woman took hold of a woman's arm to stop her walking off when she was questioning her. The woman scratched the police woman and was charged with assaulting a police officer in the course of her duty. Held: The police woman's actions amounted to...
  5. B

    Nawezaje toa habari(kama ilivyo na si link) fb nika share hapa Jf

    Wana jamii naomba mnijuzee kuhusu hilii, natanguliza shukrani zanguu!
Back
Top Bottom