Search results

  1. Mwanga Lutila

    Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Yaani mtu mzima unampa chai na slesi 4 za mkate kweli? Mchana ni kipimo kile kile cha siku zote huwaangalii kama kuna watu wameongezeka? Mbaya zaidi mgeni umesaga mahindi umewabebea hukuja mikono mitupu. Na sio kwamba wengi mnaofanya hivyo mna maisha magumu hapana..mnajiweza kimtindo Acheni...
  2. Mwanga Lutila

    Watu tuko ngazi ya 3 Ila badala ya kuchanua tunazidi kufwafwanzika

    Kibaolojia Mwanaume anapoanza kukaribia ngazi ya tatu hata kama hajajipata Sana hapa ndo anaanza kuchanua na mwili unakubali . Lakini kwa wengine ni tofauti Sizungumzii wanawake, Mwanamke akifikisha ngazi ya 3, tayali ameshazeeka. wao ni kama mali mbichi.
  3. Mwanga Lutila

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Tumsifu Yesu Kristo Sisemi mengi Ila niliyoyaona tangu tumeanza kusali Jumuiya kwa huyu braza ni wazi combination ya mkatoliki na msabato katika ndoa ipingwe kanisani. Huyu kaka ni Kama ananyanyasika aisee! Hana nguvu yoyote kwenye ndoa, ana watoto wanne na wote wamefata kusali kwa mama...
  4. Mwanga Lutila

    Ila wanaume sisi nimakatili Sana hivi kwanini hatuwezi kuoa mwanamke ulimuachanisha na mume wake?

    Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele. Dada wa watu anabaki analia lia. Mume kamuacha na wewe umemkataa..
  5. Mwanga Lutila

    Wanaume wenzangu hivi mkitoka out siku ya kwanza huwa mnapiga stori gani? Nimeachwa mara ya pili hii kwa kukosa 'interesting story'

    Hii inanikuta sasa .. Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori.. Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'.... Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi...
  6. Mwanga Lutila

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Binafsi sijawahi kuona Ina maana gani hasa kwa mtu ambae hufanyi business yoyote. Unakutana na mambo ya ajabu mpaka unajiuliza ndo huyu aliyeweka?
  7. Mwanga Lutila

    Ila Wanawake hili huwa linawaumizaga sana huwa mnajikaza tu

    Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi" Sasa maisha yamekunyookea umejipata mwili umechanua Unakuja kukutana nae anaweza hata akakukimbia Mwanamke heshimu juhudi za mwanaume...
  8. Mwanga Lutila

    TSE 1 na TSE 4 ni gari za nini?

    Nauliza wakubwa Ni landcruiser VX zinazululaga sana hapa town ... Zina hizo namba TSE 1 na TSE 4 ...
  9. Mwanga Lutila

    Hivi mwanaume unawezaje kuvaa shati la kitenge au mtelezo?

    Huimbi kwaya, hujaoa ..., wala sio mlokole Unavaaje haya madubwasha?
  10. Mwanga Lutila

    Hivi BMW X6 ni ghalama sana mbona adimu sana haya magari mtaani

    Au kwasababu niko mjini ila ndani ndani Ndo maana siyaoni .. Ipo moja tu Iringa nzima.
  11. Mwanga Lutila

    Hivi inakuwaje watu mnakaa na mikate ndani mpaka inaoza mnatupa

    Kwamba mnashiba sana Chakula cha kubadilisha ni kingi kiasi mpaka msahau kwamba kwenye jokofu kuna mikate ?
  12. Mwanga Lutila

    Kuna yule Rafiki akishamuona rafiki yake wewe anakukataa kwa muda , Rafiki kama huyu unaishinae vipi?

    Hii imenikuta mara nyingi sana kiasi kwamba nimepunguza urafiki na watu wengi sana. Unakuta una rafiki ako , Ila akitokea rafiki ake anakuwa busy sana na rafiki ake na wewe anakukataa kwa muda.. Marafiki kama hawa mnaishi nao vipi?
  13. Mwanga Lutila

    Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

    Sasa hivi ukionekana humo unaonekana na wewe mtafuta malaya..
  14. Mwanga Lutila

    Kanisa Katoliki tuache ubaguzi kwenye mazishi

    Tumsifu Yesu Kristu Hapa sizungumzii wale ambao hawakuwahi kujitambulisha kwenye jumuiya zao ila familia ikataka wazikwe kikristo kanisa likawakatalia. Nazungumzia ubaguzi ambao unakuta msiba mwingine Padri anasalisha na mwingine atasalisha Katekista Huu ni ubaguzi ambao wakatoliki wengi...
  15. Mwanga Lutila

    Wanawake mnashangaza unataka ' bwana wa maana' ilihali haushindi sehemu za maana

    Tunakutongoza sisi wa uswahilini unatukataa Eti unataka bwana wa uzunguni ilihali kila siku uko na sisi hapa huo wa uzunguni utampata wapi? Yaani ni sawa kumtaka mwanaume mwanajeshi ilihali haushindi kambi za jeshi.
  16. Mwanga Lutila

    Tuacheni shobo nimekutana na classmate kanikataa hanijui

    Kiherehere cha kushobokea watu Nimekutana na rafiki yangu ambaye tumesoma darasa moja toka la kwanza hadi form 4 , na tulikuwa tunakesha wote Kusoma huku tukiloweka miguu kwenye maji ili tusisinzie. Matokeo yalivyotoka yeye akaendelea mbele mimi nikaanza kuingia kitaa Leo nimekutana nae...
  17. Mwanga Lutila

    Hivi kijana na hizi harakati za maisha unasemaje umeokoka?

    Hebu tuseme ule ukweli Maisha ya ujana yanahitaji pilikapilika nyingi Kuna wakati utatakiwa utoke nje ya mstari au upige mpigo ili vipengele vyako vikamilike.. Sasa hapa utaokokaje na hizi pilikapilika? Utakuwa ni uongo Ndio maana vijana mliookoka maofisini mnazingua sana... Angalizo...
  18. Mwanga Lutila

    Nimefika 'Daslam' mji unanuka na hewa nzito, Feri watu wanakimbia kimbia tu!

    Dar inanuka, hewa nzito na haitoshi mwilini, mnaishije na hili jiji? Hapa haijalishi una tuhela au huna! Mtu anatoka nyumbani saa tisa usiku anarudi nyumbani saa 6 usiku! Mnaishi kwa shida sana
  19. Mwanga Lutila

    Mliopata vihela acheni kutusimanga tuliofwafwanzika na kutuona ni wavivu na hatufanyi kazi

    Sina haja ya kusalamia Vijana wadogo mmepata vihela (kwa juhudi mnazijua nyinyi) mnaanza kuwa motivation speaker na kuwananga ambao hawana ... Kuwa hawafanyi kazi, hawapambani ni wavivu ...wanachagua kazi Acheni dharau Huku mtaani vijana wanajituma sana lakini kinachopatikana hakilingani...
  20. Mwanga Lutila

    Kutafuta 'connection' hakuna tofauti na kuwa chawa

    Itabidi uanze kuwasujudu watu Kuwalamba miguu Kuwasikiliza kila watakachosema Unaweza ukafika hatua ya kutweza utu wako kisa kutafuta connection. Ni vizuri tujifunze kusimama sisi kama sisi japo ni gharama na kujitoa haswa.
Back
Top Bottom