Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Tumsifu Yesu Kristu
Hapa sizungumzii wale ambao hawakuwahi kujitambulisha kwenye jumuiya zao ila familia ikataka wazikwe kikristo kanisa likawakatalia.
Nazungumzia ubaguzi ambao unakuta msiba mwingine Padri anasalisha na mwingine atasalisha Katekista
Huu ni ubaguzi ambao wakatoliki wengi wanaumia nao tofauti wenzetu KKKT atakuja hadi Askofu (Kama ulikuwa mshirika mzuri)
Ila kwetu hata Kama ulikuwa mshirika mzuri kila siku masifu asubuhi , Yesu wa Ekarist kwa sana ...
Usije kuishangaza familia yako kwa kuzikwa na Katekista...