Search results

  1. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Mimi wa kwangu nimemzalisha mwenyewe. Na sasa naishi naye ila Pamoja na yote ana kazi yake na vibiziness vya kujiongezea kipato na vilevile nilimkuta tayari ana maisha yake kwahiyo sioni hasara kumumuhudumia kwa nilichonacho kulingana na uwezo wangu. Kwa kifupi ni mtafutaji hata nisipolipa kodi...
  2. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Cjamaanisha kumtegemea mwanamke wa miaka 30 na kuendelea. Ni kwamba wengi wao wanajua nini maana ya maisha, kufanya shughuli yeyote ile ya maana ya kumuingizia kipato hata kama 5000 kwa wiki kama ajira imekuwa ngumu simaanishi kuuza K. Na siyo kila kitu kumtegemea mwanaume tofauti na hao wa...
  3. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Ha ha ha ulijuaje? Na wakikutema sa nyingine huwa hawarudi nyuma tena maana wanaona janaume hili akili zake za kitoto siwezi kufika naye mbali hata kufanya naye vitu vya maana zaidi ya kupoteza muda. Mkipata hiyo bahati msichezee shilingi chooni. Ukipendwa pendeka na ujifunze kuheshimu hisia...
  4. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Haswaaaa achana naye huyo mwenye mawazo mgando
  5. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Jiulize ungekuwa wewe halafu unakutana na maswahiba ya kupondwa kama haya ungejickiaje? Au angekuwa dada ako kama usingetoka povu [emoji16] [emoji16]
  6. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Sasa kwani wenyewe walipenda kukaa bila kuolewa? Si ndio nyie mnaowachezea mpaka wanajikuta umri umeenda halafu badae mnawaona hawafai tena mnataka wa kuanzia miaka 18-27. Chamsingi angalia mwanamke ambaye ukiishi naye mnaweza kufanya vitu vya maana na siyo mambo ya starehe. Umri siyo kigezo...
  7. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Kama ni ivyo nadhani hata wazazi wako hususani baba ako angemuacha mama ako. Ndomana nasema vitoto vya kabalehe jana mna shida nyie. Mnawaza ngono tu na starehe hakuna cha maana tena wengi wao kula kulala tu kwao. Mfyuuuuuu [emoji53] Hebu tuliza kijiti hicho kijana angalia mwanamke ambaye...
  8. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Mwacheni huyo zimwi hangaike na vitoto. Usikute hata yeye mwenyewe mtoto kabalehe jana awazi vitu vya maana anahangaikia kuwasema wadada wa miaka 30----.[emoji51]
  9. Malaika plus

    Wadada wenye 30+ wanatia huruma

    Unaona sifa mwenyewe kuongea upumbavu kama huo! Unafikiri wadada wote wenye umri kuanzia miaka 30 ndo wana dhiki ya kuolewa? Tena afadhali na hao maana ukioa wanatulia kweli kuliko videmu vinavyoanza kuvunja ungo, maana wengi wao mapepe tu bora hata wa miaka 30-35 akili zao zimekuwa za kiutu...
  10. Malaika plus

    Alikiba V/s Diamondplatnumz

    Chibu dangote
  11. Malaika plus

    Msaada: Jinsi ya kupunguza wivu na hisia mbaya

    Acha kumshauri mwenzio mabaya. Unafikiri wote ni wapenda michepuko kama ww. Michepuko nao wanawawaza wanaowapenda ww utakalia kuchunwa na kuliwa ivyo visent vyako, baadae na ww utataka mwanamke wa kutulia na ww. Take care. Cha msingi kuckilizana, kuheshimiana na kila mmoja amuone mwenzie...
  12. Malaika plus

    Napenda kumuudhi kwa makusudi

    Huenda kichwani hazimo ww, hebu jichunguze vzur
  13. Malaika plus

    Wassira azidi kumng'ang'ania Bulaya Ubunge wa Bunda, Wafuasi wake wakata rufaa

    Bora kulia lia ili kero zitatuliwe za wananchi wake. Tatizo mpenda kulala tu bungeni halafu cha maana cha kuongea hana.. Mfyuuuuuu
  14. Malaika plus

    Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] akamzalie yy naona anamuona mwenzie anafaidi sana
  15. Malaika plus

    DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

    Mbona yule shoga aliyehojiwa na Zamaradi hadi kupeleka kipindi chake kufungiwa yule shoga anaitwa Kaoge, ina maana hajamuona zaidi ya James tu? Kwanza mashoga wapo wengi tu
  16. Malaika plus

    Le Mutuz Is So Fragile Inside

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] u know yamekugusa??
  17. Malaika plus

    Mzee wa Upako: Weka muziki acha maneno ndio yenyewe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  18. Malaika plus

    Napata choo laini sana, tatizo ni nini?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti. Sijui tumsaidiaje? Labla hataki kuchamba huyu
Back
Top Bottom