Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Huu ni ukweli ila kwa busara zangu hua sitaki kuusema kwa kuhofia kuwakwaza dada zangu.

Kiukweli katika umri wa 30+ ukidate na mdada anakua mnyenyekevu mno tena anajali sana, matumaini yake hua ni ndoa lakini kwa bahati mbaya hua mwanaume una mtu mwingine mwenye 20+, kwa kumheshimu mwenye 30+ unamwambia ukweli tu mimi niko occupied lakini wengi hua hawakubali wanahisi akikomaa utamuoa, wengi wana kazi na maisha mazuri ila ndo hivyo wanahitaji ndoa tu.

Wanawake mlioko kwenye 20+ jifunzeni kupitia hii mada, shauri yenu msijekusema hamkuambiwa.
Majuto ni mjukuu wasiposikia
 
Nimerud trh 26 mwez huu ktoka uganda, kpnd npo kile nlifikia mji wa Jinja ktk hotel 1 nzur sana, ktk mizunguko yangu nlikutana n mdada 30+ n yy ni mganda pure kbs demu wa maana nbanajiheshm haswa, nlijiuliza nmuingie vp uyu...

Na kizur zaid nae alikua katoka kampala kaja weekend jinja ila yy alifkia hotel nyngne.... Kuna duka la vinyago tulikua wte n kna kasanam kadogo nlikashika nkawa nakatazama kumbe yy nae alikaona akanifata akaomba akashike nkampa...

Akanshukuru n akainunua, kisha akaniomba twende lunch, tukaenda kweny htl alofkia.. Muda wote uo story nyng tu bt lugha ni English n uzur yy kiswahl anakckia ila kuongea shida...

Nikamuonyesha hali ya kumjali + ukaribu wangu kwake, mdada wa watu akaingia kingi akanipa mzgo... Tokea nmerud tz mwanamke ni anansumbua n anataka aje uku nilipo....

Masaa kam mawili yalopita kapiga cm n kanambia nxt week anataka aje tz...

Asee upo sahh mtoa mada, hawa wadada 30+ hawa ni shida, yn ukigusa tu imo
Uyo nimzur inamaana anania na wewe so usilukeluke nawatt watakuchosha akili
 
yanini kuangaika na wanawake 30+ wakati vitu vibichi vipo vya kutosha..30+ unakuta wahuni washajipigia vya kutosha(kama kakuvutia wewe..ni wanaume wangapi walio vutiwa nae kama wewe mpaka amefika umri uwo),unakuta kashatoa mimba nyingi sana na kama kwenye uchumi yuko vizuri itaonekana yeye ndo anakutunza(utaonekana mario)
 
Binafsi napenda sana mwanamke aliyekomaa kiakili,aliyeliwa liwa sana,ambaye kashatenda mtu huko so anajua maumivu ya kutesa mtu mpaka akajifunza maisha ya mahusiano perfect....na yule ambaye umri umemuenda so anaona bahati kuwa na mm....
 
Kwanza ujue kwa umri huo mtu anauwa yuko serious na kujipangia maisha sio kucheza tena, lazima awe mnyenyekevu na hapo ndio huwa wanajitokea vijana na wababa wabaya sana ambao wana tabia mbovu ya kudanganya na kweli huwa wana disapoint sana akishtuka kama 3 au 4 wamelala naye kwa kumdanganya basi anabadilika naye anakuwa hawezi kumuamini mtu tena
 
Umeshindwa kuendelea ukiwa peke yako unataka kutoka kupitia mwanamke?

Siyo kwamba akili zimekuwa za kiutu uzima. K imeanza Luganda na kutoa unga badala va ute wa kulainisha njia
wa peke yako unataka kutoka kupita mwanamke?
Kama ni ivyo nadhani hata wazazi wako hususani baba ako angemuacha mama ako. Ndomana nasema vitoto vya kabalehe jana mna shida nyie. Mnawaza ngono tu na starehe hakuna cha maana tena wengi wao kula kulala tu kwao. Mfyuuuuuu
Hebu tuliza kijiti hicho kijana angalia mwanamke ambaye mkipanga maisha yanapangika cyo mambo ya starehe utakuja kuzinduka ungejenga hata kibanda cha kufugia kuku hata kijijini kwa bibi yako. Endelea kuchezea ivyo visenti vyako mara guest, mara club kwa vitu ambavyo havina maana.. Usawa huu wa Mjomba MAGU bado unawaza vitoto vya kuwahonga tu. Kutwa kutukana kila siku wadada wa watu waliochelewa kuolewa kuanzia miaka 30 unawaona hawana thamani mbele za Mungu. Uliambiwa K zao chafu? Au zimeanza kutepweta? Kama ni ivyo babu yako na bibi yako wasingekaa hadi uzeeni. Jifunze adabu kidogo
 
Mkuu tafadhali usiwadanganye! Kuna kuchelewa mkuu.
Unajua kwamba kwa mwanamke inafika mahali mayai hukoma?
Unajua kwamba kwa mwanamke inafika mahali nyonga hukomaa na kukakamaa hata kuzuia mtoto kupita?
Sasa kwani wenyewe walipenda kukaa bila kuolewa? Si ndio nyie mnaowachezea mpaka wanajikuta umri umeenda halafu badae mnawaona hawafai tena mnataka wa kuanzia miaka 18-27. Chamsingi angalia mwanamke ambaye ukiishi naye mnaweza kufanya vitu vya maana na siyo mambo ya starehe. Umri siyo kigezo
 
Kama ni ivyo nadhani hata wazazi wako hususani baba ako angemuacha mama ako. Ndomana nasema vitoto vya kabalehe jana mna shida nyie. Mnawaza ngono tu na starehe hakuna cha maana tena wengi wao kula kulala tu kwao. Mfyuuuuuu
Hebu tuliza kijiti hicho kijana angalia mwanamke ambaye mkipanga maisha yanapangika cyo mambo ya starehe utakuja kuzinduka ungejenga hata kibanda cha kufugia kuku hata kijijini kwa bibi yako. Endelea kuchezea ivyo visenti vyako mara guest, mara club kwa vitu ambavyo havina maana.. Usawa huu wa Mjomba MAGU bado unawaza vitoto vya kuwahonga tu. Kutwa kutukana kila siku wadada wa watu waliochelewa kuolewa kuanzia miaka 30 unawaona hawana thamani mbele za Mungu. Uliambiwa K zao chafu? Au zimeanza kutepweta? Kama ni ivyo babu yako na bibi yako wasingekaa hadi uzeeni. Jifunze adabu kidogo
Uko right ila kama wewe ni,, 30+pole sana kwa changamoto hii
 
Na wanatoaga mahari kwa niaba. Ila tuache utani wanajua kupenda ile mbaya, hawana Maringo, wanajali hao ila ukimpiga chini wanalalamika sana, wanamaneno hao. Ukitaka kurudi simple kama ugali na mlenda
 
Ha ha ha ulijuaje? Na wakikutema sa nyingine huwa hawarudi nyuma tena maana wanaona janaume hili akili zake za kitoto siwezi kufika naye mbali hata kufanya naye vitu vya maana zaidi ya kupoteza muda. Mkipata hiyo bahati msichezee shilingi chooni. Ukipendwa pendeka na ujifunze kuheshimu hisia zake hapo nakuhakikishia mpaka kifo. Wadada wenye umri huu huwa hawataki kuumizwa vichwa.. Kazi kwenu sasa
 
Nakumbuka mmoja alinitafta fb kwa kunitumia friend request nilivyo acept tu akaja mesenger na kuanza kunihoji utazani yeye ni askari mpelelezi, nilimjibu kwa usahihi kila alichouliza mwisho wa yote akaniuliza umri nikamjibu sahihi akasema sio mbaya, nikamuuliza sio mbaya nn akasema japo umri nimekupita lakini sio mbaya, nikamwambia kwan vip, akafunguja dah nilikosa pozi mana agenda yake mzigo hatoi mpaka afunge ndoa mwenyew kimoyomoyo nikasema hata umri ningempita bado isingesaidia kabsa.
Mkuu hicho kigezo cha kutotoa mpaka ndoa ungekubali under one condition naye awe bikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom