Search results

  1. Nico1

    Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  2. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  3. Nico1

    Msaada wa kimawazo kufikia malengo yangu ya kielimu

    Kwanza kabisa nawasalimu nyote wakubwa kwa wadogo poleni na majikumu ya ujenzi wa taifa.Mimi ni kijana ambaye hivi karibuni nimehitimu elimu ya kidato cha sita lakini kiukweli matokeo si mazuri ,nilikuwa nasoma nasoma mchepuo wa art HGL na nimepata ufaulu ufuatao HISTORY-C,GEOGRAPHY- E, na...
  4. Nico1

    Je, ni kweli kwamba Israel ndiyo inaongoza kuwa na mfumo imara wa kiulinzi duniani?

    Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu mfumo wa ulinzi wa Israel,teknolojia kwenye upande wa uzalishaji wa silaha nzito na uwezo wake wa kijeshi kiujumla duniani. Ni hayo tuu wadau.
  5. Nico1

    Jinsi ya kutumia simu ya blackberry kama mordem

    Hatua zipi zitumke ili niweze kutumia simu kama mordem kwenye pc ,mwenye ujanja huu naomba anisaidie.:mod:
  6. Nico1

    kwa anayefahamu hili swala.

    Naomba kujuzwa kuhusu grade za watahiniwa binafsi(private candidates) je zinahesabiwa sawa na school candidates au kunautofauti katika ugawaji wa Hizo alama.
Back
Top Bottom