Search results

  1. BCR

    Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Geofrey Humphrey Kowero
  2. BCR

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Hakuna haja ya kumtetea, mwacheni mwenyewe akubali au akanushe, kimya kina maana yake pia
  3. BCR

    Ee Mwenyezi Mungu naomba uniponye ikishindikana kupata dawa hapa jf

    Pole ndugu, KIRI ZAB53:5b, pia nenda hospitali kubwa usiende dispensary, wataalamu wanakuja
  4. BCR

    Balaa: Mke wa Mtu Afumwa Akijiuza Usiku na Mtoto Mkononi

    i support what u'v said. GOD help her and her beby please, let her forget by giving smooth way of handling her life. In JESUS CHRIST NAME, i'v pryd Amen.
  5. BCR

    Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    Watu hawaoani kwa sababu ya uzuri wa muonekano. Umempenda kwa umbile au kutoka moyoni? Kama umempenda kutoka moyoni hilo suala lisingekusumbua kiasi hicho cha kutaka kumuacha. Muombe MUNGU WA MBINGUNI atakusaidieni mfikie malengo yenu na kuwa na ndoa yenye amani na upendo. Unaweza kutafuta...
  6. BCR

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    ukitazama maana ya kina ya maandishi hayo, ni ufumbuzi wa shortcut juu ya changamoto alizoziainisha. Na always shortcut can cut you. Ufumbuzi wa kujitenga ni mbegu ya matatizo aliyoonya hayati mwalimu. Wakishajitenga kabla hawajaenjoy kujitenga kwao ataibu mtu mwingine na kudai unguja iwe...
  7. BCR

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Always inteligency information contradict with media. So the issue of Kova and JWTZ dont rely with media. They'v 1plan, they know each other
  8. BCR

    Kikwete awapa polisi fundisho

    Si kila msiba mhe. Rais atahudhuria, ni kulingana na majukumu na ratiba, ratiba nyingne hazimruhusu kutuma mwakilishi inabidi awepo,inabidi atume mwakilishi mwakilishi kwenye misiba , mazingira kama hayo yakitokea.
  9. BCR

    Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua YESU KRISTO ni tegemeo la pekee
  10. BCR

    Inashitua: Watanzania wengi hawasikitishwi na Kifo cha RPC Mwanza!

    tafuta nyuzi zinazojenga au kuleta suluhisho na si zenye kuamsha na kuongeza mipasuko.
  11. BCR

    Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    acha kuendekeza udini na chuki mkuu, fanya kazi jibidiishe, acha hizi habari za udini hazitusaidii mkuu.
  12. BCR

    Prove your ability here

    My twin from another mother. Others say 'namemate'
  13. BCR

    Nifanyeje?

    Jeshini uwa wanatangaza nafasi za kazi za kuitaji wataalamu(wasomi), nielewavyo mimi, umri hauwi kigezo. Usisite kupita eneo husika kwa maelezo ya kina
  14. BCR

    msaada wa kidaktari manajf

    Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
  15. BCR

    Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua maisha bila YESU hayana thamani
  16. BCR

    Hii ndio massage Iliyomchekesha waifu leo mpaka nimesikia raha!

    very nice, creativity always is needed in love, to neurish love. Big up br
  17. BCR

    Happy birthday Kamanda Zitto!

    Maisha marefu na mafanikio yenye kusimamia haki
  18. BCR

    majibu yenu yanaitajika hapa!!!

    chura wa the comedy amesimama, sjui chura yupi unamzungumzia mkuu. Karibu sana
  19. BCR

    Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Soma vizuri mkuu, madiwani na meya wanapaswa kuelewa uozo kwenye maeneo yao, ukimya wao ndo unafanya wahusishwe, kama hawahusiki wangepaza sauti zao, silence means yes.
  20. BCR

    CHADEMA kutumia Helkopta nne katika M4C kushambulia mikoa yote Tanzania

    tunaomba garama halisi za izo helkopta,magari,shuhuli nzima kwa jumla, na vyanzo vya kulipia izo gharama
Back
Top Bottom