Hii ndio massage Iliyomchekesha waifu leo mpaka nimesikia raha!

maelezo tafadhali,,,this is not a story Micha
i tu ya familia husika bali ya taifa pia![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Sio wote Rose...
Kuna nyumba nyingi tu mazungumzo kati ya mke na mme yamekaa kijesh jesh. Ukiwaona kwenye gari utadhani askari magereza anampeleka mtuhumiwa mahakamani...

Nyumba nyingi sana wanaishi hivyo........Utakuta hata salam wanapena kwa kuviziana haswa wale wa ndoa za mkeka au waliooa au kuolewa na wazazi japo si wote
 
Last edited by a moderator:
lazima acheke umemkumbusha vitu ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuvifanya kama kula tamutamu porini!
 
nilimwandikia waifu massage asbuhi sana, nimetoka tu kwenda kazini, na yeye anaelekea upande mwingine wa mji kazini.
ni copy and paste massage ni hizi hapa
##....siku ile tulivoenda kijijini tukapikiwa ugali mkubwa wa dona na jogoo wa kienyeji anayekaribia kuwika aliyeungwa chumvi tu, tukala tukashiba, mama akachemsha maji tukaenda kuoga porini karibia watu watuone, tulijisahau tukaanza kula tamutamu chapuchapu, nakumbuka kulikuwa na mbalamwezi!!!
##tulienda kulala baada ya story nzito nzito toka kwa babu, sasa kakitanda kadogo, net fupi imetobokatoboka, ukashauri tulale kwa kubebana au ubavu ubavu, ghafla usingizi fuuuu mara tukaamka, tulianza kula tamutamu mpaka asbuhi mionzi ya jua Ilitushtua kwa kuwa nyumba ya udongo ilikuwa na mapengo mapengo.
##babu alikuja kutuamsha nakumbuka akaniita ANKO...ANKOJEI....kumekucha njoo nisaidie kukamata jogoo wa Lunch, ghafla tulianza kumfukuza jogoo wa lunch, mpaka ulikuja kumkamatia sehemu ile tulipokuwa tunaoga usiku porini.

Basi nasikia my waifu amecheka sana uko kazini mpaka ametoka nje, JARIBU NA WEWE KUMCHEKESHA MKEO/MPENZI WAKO LEO UNAWEZA PATA BONUS NIGHT.

very nice, creativity always is needed in love, to neurish love.
Big up br
 
wakuu Chum Chang, Binti.com mtoto mpole andybird314 COURTESY Mentor sakapal The Son Rose1980 Mtanga Tc Zion Daughter King'asti ram calorine Danzi Bajabiri Luno G Mzee wa Rula Asabaya Kindimbajuu Kazakuku Micha data Ramos na Mkirua

ndio naingia nyumbani naona waifu anauso wa kusawajika vile kama vile ndio namchumbia leo, heheeee BONUS NIGHT

hehehe, usisahau ubakishe na ya morning glory mwayego. Hiyo ndo atatabasamu kutwa nzimaaa, hadi wamuulize.
Acha wapambe wafe na vijiba vya roho
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom