Search results

  1. Matindi94

    Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa

    ANAHITAJIKA MTU WA KUUZA DUKA LA DAWA Duka lipo iringa wilaya ya kilolo Kigezo uwe na ADDO Jinsia ya kike Mawasiliano 0624817466
  2. Matindi94

    Ipi simu nzuri ya OPPO

    Habari wanajamvi hivi kwenye kampuni ya oppo simu toleo gani zuri ambalo lina vigezo hivi 4ram 64gb Inayotunza sana chaji angalau yanye 5000mah Kamera nzuri Ambayo pia ni slim(yaani sio nene sana) NB; NIMEULIZA KWASABAB NAJUA KUNA WATUMIAJ HUMU WANAZIJUA VZR NATAK ILI NINAPOENDA DUKAN NIWE...
  3. Matindi94

    Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS

    Habari za humu wanajukwaa Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS je maana sijawah kuagiza kwenye platform hii mm huwa natumia KIKUU kuagiza vitu vidogo vidogo kama memory,flash,eaphones tu Ubora wao bidhaa zao ni halisi kama zinavyookenana kwenye...
  4. Matindi94

    Naomba kujuzwa short kozi nzuri ya mambo ya computer

    Habar za kazi wana jf Naomba msaada wa kujua ni kozi gani nzuri ambayo ni short kozi ambayo naweza kusoma na nikafahama mambo ya fuatayo 1; jinsi ya kutengeneza websites. 2; jinsi ya kutengeneza simple database mbalimbali. 3; Programing n.k Japo nina knowledge ya computer yaani hizi computer...
  5. Matindi94

    Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Habar za kazi wana JF naomba kujua kuhusu kilimo cha hili zao Je, mbegu zake zinaweza kupatikana wapi? Je, soko lake lipoje na linawez kustaw maeneo ya baridi kama vile Njombe na Iringa? NATANGULIZA SHUKRANI
  6. Matindi94

    Jibu la swali hili litawasaidia wengi wakati wa usaili

    Habari za muda huu wadau. Kuna mahali nilikuwa napita kwenye maombi ya nafasi za intern nikakutana na hili swali naomba wajuzi msaada wenu, vitu gani vinahitajika hapoo hasa NAFASI: Communication Intern SWALI: Please state briefly the reasons why you think you are an outstanding candidate for...
  7. Matindi94

    Msaada wa malipo kwa frelancer

    *Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
  8. Matindi94

    Msaada malipo kwa frelanca

    *Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
Back
Top Bottom