Search results

  1. theriogenology

    Mdada afanyiwa Anal surgery baada ya Dildo kushindwa kutoka.

    Nimeitazama hii video, Nimeshangaa kweli ni kwamba wanaume hawapo hadi kufikia wadada kutumia Dildo. Tena sio katika mlango wa mbele, ni mlango wa nyuma, bahati nzuri ikazama yote nzima ikabidi mdada afanyiwe Anal surgery kuiondoa. Hakika dunia inahitaji toba ya nguvu, maana tulipofikia huku...
  2. theriogenology

    Pale mwanaume wa kichina anavyofanyiwa usaili kabla ya kukabidhiwa binti kama mke

    Hii video, ni pale Binti wa kichina anapomtambulisha rafiki wake wa kiume (Boyfriend) kwa wazazi wake. Haya maisha yangekuwa Tanzania sidhani kama vijana wengi wangemudu kuoa wadada, maana kukubaliwa wewe mwanaume na wazazi wa binti ni zaidi ya usaili wa pale utumishi. Naomba uangalie video...
  3. theriogenology

    Mambo ya beach.

    Beach ina raha zake [emoji7][emoji7][emoji7]
  4. theriogenology

    Rais John Pombe Magufuli aelekea Afrika Kusini kushiriki sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Nchi hiyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameambatana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria tukio la kuapishwa kwa Cyril Ramaphosa hapo kesho.
  5. theriogenology

    Arusha: Hii imekaaje ya kiongozi wa CCM kutaka kuwa juu ya watumishi, Daktari afukuzwa na kiongozi wa CCM

    Ifike mahali tutenganishe siasa na kazi, nimechukizwa sana na Hawa watu wanaojifanya ni viongozi wa Chama cha kijani kuingilia majukumu ya watumishi. Tena nitoe Kongole la nguvu kwa huyu daktari kamjibu vizuri, ifike mahali tuheshimiane, kuwa katibu mwenezi wa chama cha kijani (CCM) haina maana...
  6. theriogenology

    Makamu wa Rais ashangazwa na watu wanaohoji kuhusu ulinzi wa Rais..

    Husika na Kichwa cha habari hapo juu, Mh. Makamu wa Rais Mama Samiah Suluhu Hassan ashangazwa na watu wanaotumia muda wao kuhoji kuhusu ulinzi wa RAIS... Hivyo amewataka, watu hao kutafakari mema aliyoyafanya Mh. Rais na sio kutumia muda huo kujadili kuhusu ulinzi wa Mh. JPM... Huu ni ujumbe...
  7. theriogenology

    Nahitaji Namba ya simu ya Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania(Traffic).

    Husika na kichwa cha habari, hapo juu Tumepata dharula hapa Ubungo stand, sisi abiria wa kuelekea Mwanza tulikata tiketi za basi la BEST LINE, lakini kufika asubuhi tukabadilishiwa usafiri wakidai basi hili ni bovu, baada ya kufanya uchunguzi tukaona ni janja janja za hawa watu wa ubungo...
  8. theriogenology

    Samahani wakuu, ni wapi mitaa ya kariakoo nitapata ingridients zile kemikali za kutengenezea sabani

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, ningependa kufahamu ni mahali gani pale kariakoo nitaweza kupata zile bidhaa za kutengenezea sabuni. Ahsanteni, na muwe na mchana mwema. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. theriogenology

    Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

    Nimeibiwa Laptop MacBook Pro 15" mnamo tarehe 27 Machi 2019 muda wa kazi. Ofisi ilikuwa imefungwa kwa ufunguo mimi nikiwa kikaoni jengo jingine hapo hapo kazini. Serial number ni C02RT4WAG8WP. Zawadi ya Shillingi 5,000,000 (million tano) itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwake. Walau...
  10. theriogenology

    Clouds TV yafuta kipindi cha kumuhoji Maalim Seif kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao

    TAARIFA Kipindi cha 360 cha leo ambacho Makamo wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa SMZ na Mwanachama wa ACT Wazalendo Ndugu Maalim Seif alialikwa kuzungumza kimefutwa kutokana na kile @CloudsMediaLive walichokiita "sababu zilizo nje ya uwezo wao". Ado Shaibu, Mwenezi, ACT @zittokabwe...
  11. theriogenology

    Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine. Somo hili ni mahususi kwa wale wajasiriamali ambao wanakimbilia kununua vifaranga kwa watu hapa na walenga wale wanaofuga Kuroiler ama...
  12. theriogenology

    Hakika sio wahitimu tu Hata sisi watumishi tumeshajiandaa kisaikolojia

    Hakika tunakumiss Mheshimiwa, sio kwa huyu mtu hakutakiwa kuwa hata kiranja wa shule maana sio kwa utawala huu wa mabavu....
  13. theriogenology

    wanaume tuwe makini na hawa wadada wanaojifanya wameokoka na kumjua Yesu, mara nyingi ni wahuni kupindukia

    Ni kisa cha kweli kilichompata Jirani yangu hapa, alikuwa akiishi na mwanamke ambaye yeye anasema alikuwa ameokoka na mara nyingi alipokuwa akichelewa kurudi kutoka kazini au yule mwanamke akisikia fununu za aina yoyote kumhusu yeye kuwa yuko na ukaribu na mwanamke yeyote huko kazini kwake basi...
  14. theriogenology

    Ni adhabu gani utampa Mke/Mpenzi wako ikitokea ukagundua na pia yeye binafsi kukiri katoka na watu wawili tofouti unaowafahamu??

    Baada ya kutumia mbinu zangu mbalimbali hatimae nimegundua shemeji yenu alinisaliti na baada ya kumuuliza kwa upole kabisa huku nikiwa nalengwa na machozi imebidi awe muwazi tu ni kweli alinizunguka na hajui kwanini ilitokea hivyo ameniomba kila aina ya msamaha bado nimebaki njia panda sijajua...
  15. theriogenology

    Njia NANE zitakazoonesha kuwa Mwanaume uliye nae ana NDOTO za mafanikio na nia ya kujenga NDOA imara

    Andiko hili ni mahususi kwa wanaume wasio na ndoto finyu. Kama una ndoto finyu za maisha it's okey, ila limelenga watu wa aina mbili 1. Wanaume wenye ndoto na kiu ya mafanikio. Wanaoamini kuwa MUNGU ameweka kitu kikubwa ndani yao, na wako tayari kukitafuta! 2. Wanawake ambao wanajua kusudi...
  16. theriogenology

    Heshima kwenu Single mom's hakika mnastahili kupendwa na kuheshimiwa kama wanawake wengine

    Mwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae. Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie, asipendwe au aonekane disperate na kufanywa kama chombo cha starehe na wanaume wakware. Ndio, yeye ni mama...
  17. theriogenology

    Njia nane zitakazokuonesha kwamba mwanamke uliyenaye atakusaidia kuleta mafanikio katika ndoa yako

    Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la "Black Enterprise Magazine" la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani. Aliulizwa, "Bwana Obama, Je una hofu juu ya hali ya uchumi wa Marekani inavyoenda?" Ambapo Obama alijibu, "Hapana...
  18. theriogenology

    Je wajua "Baba" waweza mkataa mtoto wako kimakosa kwa kupima vinasaba yaani DNA

    Kifupi: ukienda kumpima DNA mwanao, inawezekana mtambo ukaonyesha si mwanao, wakati ni mwanao kabisa, sababu ya "mutation" kwenye vinasaba... Utafiti huu umefanywa kwa wanaume mbalimbali 100 waishio jijini Dar es salaam kwa kuchukua sampuli kutoka kwa baba na mtoto na kisha kufanyiwa paternity...
  19. theriogenology

    Hakika ningependa kumjua huyu bilionea anaetuwakilisha sisi watanzania kimataifa

    Habari.... Husika na kichwa cha habari hapo juu binafsi ningependa kujua huyu bilionea anaetuwakilisha kimataifa/ulimwenguni (duniani) ni nani hasa kwa majina...... Maana huyu JF kuna tabia ya members mbalimbali kuwapa watu hadhi ya ubilionea ilihali kimataifa hawajulikani..... Katika...
  20. theriogenology

    Nafasi za Madaktari wa Binadamu kwa jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ)

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi kwa wataalamu wa Tiba watakaotoa huduma za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanatiza Jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari, msemaji wa JWTZ Kanali Ramadhani Dogoli amesema, JWTZ limetoa nafasi ya kuandikishwa...
Back
Top Bottom