Search results

  1. G

    Siku ya 7 baada ya CCM kurusha "kete"... Wamefanikiwa asilimia ngapi?

    Mungu mkubwa tena sana aibu itawaangukia tena km ilivyokuwa kwa mwangosi viva chadema!!.
  2. G

    Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake....

    mkuu cjaiona ile list naendelea kuichek km nikiiona ntakujulisha
  3. G

    Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake....

    subiri kidogo niangalie kuna list fulani ninayo
  4. G

    CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Huyu nape kwa sura ni mzuri nazan umodo unamfaa sana na sio siasa
  5. G

    Heslb

    Naona suala la mkopo lilikuwa la kisiasa kwaajili ya kumuingiza mjomba madarakani.ivi kama fleshers from six wamekosa mimi mweye equivalent yaani diploma nitapata kweli?
  6. G

    Msaada kuhusu hili

    Poleni na kazi wana jf coz mna2saidia mambo mengi sana,kwa leo mimi naomba msaada kuhusu hili;Nina diesel injini HP20 so nilikuwa natafuta motor inayoweza kunizalishia umeme mwingi nawezaipata wapi kwa hapa dar na inawezakuwa kiasi gani?asanten sana
  7. G

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Huyu aliye tuma hii thread hata akienda kwa babu haponi labda achomwe sindano stini kwenye kitovu chake,nahisi kitovu chake kitakuwa kikubwa kama bilinganya.pole sana
  8. G

    kUJUA MUSIC SYSTEM NZURI

    tafuta sony atleast 3000w.apo mwanzo mwisho vol 10 tu unaweza pasua ukuta
  9. G

    Msaada

    Poleni kwa kazi nzito wana jf,ni software naweza tumia kufrush au kusikani simu?
  10. G

    Bank ya NMB inahitaji pongezi kwa kuepusha migomo na machafuko nchini

    Hueleweki mkuu kwani wote wanaotaka mabadiliko ni wafanyakazi?
  11. G

    Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    hodi wana JF najckia niko poa sana ndani hili jamvi
  12. G

    Nahitaji ufafanuzi

    Najua kuwa jimbo la musoma vijijini linaongozwa na nimroad mkono,lakini nackia kuwa jamaa huyuu anampunga wa kutisha,naye tunaweza muweka kundi la mafisadi au?
  13. G

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    Naunga hoja 100%viongozi wa cdm walichukulie uzito suala hili
  14. G

    Hali yachafuka singida mjini.

    Haaaaaaaaaaaaaaa!hawa jamaa vipi nakusapoti mdau hawa jamaa njaa kweli wasilete mambo ya ajabu na we mtoa maada una lako jambo take care.
  15. G

    Zombe Aishitaki serikali, adai 5.2 Billion!!

    uyu jamaa ingekuwa china asingenyongwa bali 2ngempiga risasi.
  16. G

    Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

    Jamani mwenzenu nimepotelewa na vyeti vyangu vya taaluma,ninaweza kutengenezewa vingine?
  17. G

    Naombeni msaada

    Ninataka kufungua video library mahali fulani huo mkoani,naomba ushauri wenu wakuu:hug:
  18. G

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    we mama vp!umechakachuliwa nini?
Back
Top Bottom