Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gkipaka, Mar 11, 2011.

 1. g

  gkipaka Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenzenu nimepotelewa na vyeti vyangu vya taaluma,ninaweza kutengenezewa vingine?

   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sina lengo la kukukatisha tamaa, kwa sababu hii ni TZA na chochote kinaweza kutokea. Ila ninavyofahamu ni kwamba HAIWEZEKANI kupata chet kingine!
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jitahidi uwe una-scan na kuviweka kwenye different folders au unavituma kwa email yako ILI UNABAKI NA KUMBUKUMBU ZA COPIES AU HATA UNAWEZA KUVI-PRINT KWA RANGI VIZUURI KABISA.
  Pole kwa hilo, nadhani baadhi ya institutions huhitaji kiapo (oath) cha mahakamani ndipo upewe kingine ila ITATEGEMEA.
   
 4. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  Kwenye Red.
  Kama ninavyofahamu inawezekana.Lazima kuripoti Polisi kuelezea namna vilivyopotea na kuna fee you have to pay and then your next move after having the Police report and the receipt for the payment will be where your originaly got the Cvs.I think there are charges you have to pay too to get the Certified Copy(it wont be an Original)
  Good luck!
   
 5. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Cheti kikipotea hawatoi tena.
  Ila utapewa "Statement of Results"
  Pole sana.
   
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Yap, that's what I know
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,266
  Likes Received: 19,396
  Trophy Points: 280
  jamani aliye viokota si ampe ndugu yetu
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kama vilikuwa genuine unaweza kwenda ulikovipatia na kueleza tatizo lako watakutolea vingine, inaweza kuwa process ndefu kiasi!
   
 9. M

  MAMAMO Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana, hawatoi vingine zaidi ya statement of results, mimi yalinikuta hayo napata shida ninapohitaji matokeo maana hata hiyo statement of results inaweza kuchukua zaidi ya wiki 2 kuipata na hupewi wewe inatumwa inakohitajika kama kazini au shule na zaidi huruhusiwi kuwa nayo wewe kila utakapohitaji unatakiwa kwenda NECTA kuomba statement of results.mara ya mwisho ilikuwa elfu 27 ukitumia ems sijui mwaka huu. pia unatakiwa uende polisi utoe taarifa,utangaze kwenye gazeti la serikali na picha yako iwepo,nabarua toka shule uliyosoma kwamba kweli ulisoma pale. ni mbaya sana! pole Nenda NECTA watakushauri zaidi.
   
 10. D

  Developer JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  mi nimepoteza cheti cha form four, ila nimescan vyeti vyangu vyote, so nachojiuliza ni kwamba kuna means yeyote ya ku validate hii copy iwe original incase ikihitajika mahala?
   
 11. R

  Ryata Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nami pia nimepotelewa na vyeti vyangu lakini kwa nini sisi waTZ hatuwezi kuwa waaminifu kwa kurudisha vyeti vya watu
   
 12. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mie cha kwangu niliuza!! unajua tena shida za Bongo!!!!
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Umeniacha hoi kwa kucheka, hata mimi nilikuwa kwenye mchakato wa kuuza vyangu ila kwa bahati mbaya tulishindwana Bei pamoja na masharti.
   
 14. i

  imara Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana ila sidhani kama mfumo waruhusu hili
   
 15. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Pole sana, tuwasiliane nikuuzie cha kwangu! Hicho kilichopotea huwezi pata!

   
 16. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani kama ukitembelea baraza la mitihani ukawa na taarifa ya polisi utapewa utaratibu wa jinsi ya kupata kingine kwa malipo hasa kama unakumbuka namba ulizofanyia mtihani yaani school registration number na candidate examination number. Kama huna kumbu kumbu ya hivyo vitu ni vigumu kufanikisha. Pia kama ni vyuo watakupa utaratibu wao. Mambo haya yanawezekana na watu wasikukatishe tamaa. Ila kama huna hata hizo number watakushauri ujiandaa kwa kusit mtihani ili
   
 17. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Habarini wana JF, Naomba kufahamishwa kutoka kwenu kama unaweza kupata tena vyeti vyako baada ya kuibiwa, kupotea au kuungua. Nakusudia vyeti vya sekondari.
   
 18. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwamujibu wa Taratibu za NECTA hawawezi kukupa cheti kingine badalayake watakupa uthibitisho wa matokeo yako(statement of results) baada ya chet cha awali kuharibika au kupotea.
  Unachotakiwa kufanya Kwanza tafuta statement ya polisi (loss report)
  Then unatakiwa kutoa tangazo la kupotelewa na vyeti kwenye gazeti la serikali .
  Baada ya siku 21 chukua loss report,nakala ya tangazo la gazeti , copy ya leaving cirtificate na copy ya academic cirtificate ulio poteza kama unavyo na picha zako.
  Kisha nenda kwenye mtandao wa Necta download form za upotevu wa cheti na ujaze kwa umakini.
  Fanya utaratibu wa malipo kwa namna ulivyo elekezwa kwenye form hizo kisha uzitume pamoja na viambatanisho nilivyo kuelekeza awali.
  Kisha utapata statement of your results toka necta
   
 19. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante kwa ushauri umesaidia kuelewa
   
 20. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  any time
   
Loading...