Nahitaji ufafanuzi

gkipaka

Member
Mar 11, 2011
26
0
Najua kuwa jimbo la musoma vijijini linaongozwa na nimroad mkono,lakini nackia kuwa jamaa huyuu anampunga wa kutisha,naye tunaweza muweka kundi la mafisadi au?
 
Najua kuwa jimbo la musoma vijijini linaongozwa na nimroad mkono,lakini nackia kuwa jamaa huyuu anampunga wa kutisha,naye tunaweza muweka kundi la mafisadi au?

suala siyo kuwa mpunga; ishu ni je aliupataje?
 
Mkuu huyo ni bonge la fisadi, mbona Mdee alishasema! Kapga mahela kupitia kampun yake ya uwakili na hyo bank M Nakuletea full data soon
 
Back
Top Bottom