Search results

  1. Bonde la Baraka

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Sisi wa TBA tukomenti wapi?
  2. Bonde la Baraka

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mimi crdb nacheki kadri nipendavyo free in charge. Ikizingua nacheki min statement ya wiki bila kuliwa na benki wala Tigo
  3. Bonde la Baraka

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mimi hata wakinipa tarehe 35 poa tu, la muhumu wazungatie tarehe zilizopita ili kuweka mzunguko sawia.
  4. Bonde la Baraka

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Hii miezi minne ratiba za mshahara zimebadilika. 24, 25, 25 na hii Machi 25 ndio kasungura katatoka. Tulishazoea 21, 22 na ikichelewa sana 23.
  5. Bonde la Baraka

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

    Sijaona sehemu umeiingiza nafsi yako katika uzi huu, hivyo na conclude kuwa ondoa pumba zako hapa
  6. Bonde la Baraka

    Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

    Mwafrika nusu mtu nusu mnyama. Maadamu mtu kaajiriwa na gvt mshahara wake ni fixed basi anaomba serikali ipige marufuku movement. Hajiuluzi maswali haya; Ana ndugu wangapi ambao hutegemea movement za watu kupata ridhiki? -Serikali kama haitakusanya italipa makande watumishi wake? -Hajui kuwa...
  7. Bonde la Baraka

    Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

    Na binti akipost picha huku makalio kayasahau nyuma huyo mblock
  8. Bonde la Baraka

    Lucky Dube na wimbo wake wa "Remember Me" ni wimbo mzuri wa karne

    Kweli, hawa wenzetu tusiwajaji kwa haraka na urahisi kivile
  9. Bonde la Baraka

    Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

    Kila nikivuta Picha nauona ujima ule!
  10. Bonde la Baraka

    Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

    Kama angeleta mrejesho kuna mahali amekwama ningeweza kumpiga tafu, naona mwenzake Peramiho alirudisha mrejesho baada ya wiki moja tu.
  11. Bonde la Baraka

    Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

    Wakuu kwema? Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana. Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this...
  12. Bonde la Baraka

    Maneno ya mke wa mtu, yamenishtua

    Omba Mungu mume wa huyo binti awe lofa. Ningekukuta MTU kama mimi na wife wangu, ningemwacha wife dk hiyo hiyo. Wewe ungenisaidia kumsindikiza Ubungo then tungerudi wote uchukue nafasi yake
  13. Bonde la Baraka

    Ushauri wa haraka unaombwa: Pitia hapa

    Hili jambo halihitaji ushauri, linahitaji maamuzi sahihi na akili timamu tu. Aachane naye ataishi kwa amani
  14. Bonde la Baraka

    Ukweli juu ya corona (End of the world)

    Tangu nijiunge Jf sijawahi kukutana na uzi mrefu kama huu. Kiingereza kilichotumika ni rahisi tu ila ili uupate ujumbe wote inabidi misa uighairishe. Atakayeumaliza kuusoma anifupishie
Back
Top Bottom