Search results

  1. Lello199

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Kweli kabisa mkuu. Mteja anakuwa hakatei pesa nyingi hata wakala nae kale kakamisheni kanaongezeka halafu hakuna masuala ya kusubiri mwisho wa mwezi ni papo kwa papo unachukukua chako mapema.
  2. Lello199

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    😂😂😂HAO UNAOWAGAWIA NDIO WALIOLETA SHIDA ZOTE HIZI. BURGAIN NA WAKALA ILI VIJANA WAPATE KULA MKUU KWASABABU BAADA YA SERIKALI KULETA TOZO BIASHARA YA UWAKALA WA MITANDAO YA SIMU IMEKUWA NGUMU SANA. WABARIKIKIWE WALIOLETA LIPA NAMBA NDIO IMELETA AHUENI KWENYE HII BUSINESS
  3. Lello199

    Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    "You are holding a drink blended with a story of ambition, a labor of love from humble beginnings"
  4. Lello199

    Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

    Tunamshuku mama kizimkazi kwa makao makuu madogo kuliko jiji la biashara. Natumai umefurahi sasa mtoa mada.
  5. Lello199

    Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Mkuu itoshe tu kusema "Bado hujui nini unakitaka kwenye haya maisha"
  6. Lello199

    Mbowe amepooza siasa za harakati, hatoshei tena uenyekiti CHADEMA ya kipindi hiki

    Cecil Mwambe...Sijui hata nilikuwa nawaza nini
  7. Lello199

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    NDOA NI UKANDA WA GAZA. cc dronedrake
  8. Lello199

    Looking for a reformed christian man for marriage

    Your financial status please!
  9. Lello199

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Maandalizi ya kufanya biashara ya kuwauzia nchi DP WORLD.
  10. Lello199

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Muhimu sana hio mkuu. Plus castle lite bariiiidi
  11. Lello199

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    TUMEKUELEWA PROF. JANABA😅😅
  12. Lello199

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Hiki kiumbe kinasingiziwa sana
  13. Lello199

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Hapo kwenye NGURUWE patanishinda. Ndio keanza nasubiri ikauke hapa.
  14. Lello199

    Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

    Wameyapata wapi? Bila shaka IRAN
  15. Lello199

    Wengi wanakimbilia ACT Wazalendo kwa sababu ni chama huru baada ya Zitto Kabwe kustaafu. Mwabukusi na Mbatia watajwa kuhamia!

    CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ilishindwa kufa kipindi kile (2015-21) sioni ikipasuka wakati huu. MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Back
Top Bottom