Search results

  1. mpuyango

    Mliooa mnastahili pongezi

    [emoji23][emoji23]Acha ukorofi mkuu
  2. mpuyango

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    1. Tumbo joto - Kali P 2.Mr.ebbo - Mi masai(original version) 2. "Nimekufananisha wewe dada" (sijui kaimba nani) 3. Alikiba -zaidi yako ( "si unaelewa wazi mi nikaka yako.. na unajua huyu ni shem wako") 4. Bakizi - ninapenda ukivaa kanga moja 5 "Utanikumbuka mpenzi wangu utanikumbukaa"...
  3. mpuyango

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Safari - Mc Babu Ayubu
  4. mpuyango

    Bob Junior ampigia magoti Diamond Platnumz na kumlilia kama mtoto

    Bobo Junior Ft Diamond platnzumz soon Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpuyango

    Wimbo Wa "Mfalme" wa Belle9

    kwanini hujashtuka kwa belle9 mkuu Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
  6. mpuyango

    Wimbo Wa "Mfalme" wa Belle9

    Msanii anayeiwakilisha vyema mji kasoro bahari Morogoro Belle9 ameachia ngoma yake mpya inaitwa "Mfalme", kwa upande wangu ni ngoma kali japo ngoma imeachiwa tu mitandaoni hope ikiachiwa redioni pia itapata rotation ya kutosha. Lakini bana asubuhi nilikuwa nasikiliza huu wimbo nikakumbuka Miaka...
  7. mpuyango

    Ali kiba ndo kashapotea au

    +Away + Bank Alert!
  8. mpuyango

    Ali kiba ndo kashapotea au

    hahah
  9. mpuyango

    Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

    ni nani huyu jamaa mwenye cv yake
  10. mpuyango

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    nyie bado hamjaachana
  11. mpuyango

    Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

    Kwa ukubwa wa Tiwa savage mi naona amefanya kitu sahihi kabisa.. Wanaigeria industry yao kubwa mkuu usiwachukulie poa kabisa
  12. mpuyango

    Anna Mghwira apinga kuondolewa uenyekiti ACT Wazalendo

    yale yale ya CUF yanajirudia hapa aise Vita dhidi ya ccm haijawi kuacha upinzani salama
  13. mpuyango

    Magoli Ya Ronaldo!

    Magoli ya Ronaldo hayajawahi kumuacha mtu salama! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. mpuyango

    Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

    mi namkubali youngkiller kwa sababu young dee ni mkali kuliko wote hivyo dogo janja ndo anakimbiza
  15. mpuyango

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    dada mwenyewe anamcopy "salama" sauti
  16. mpuyango

    List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo

    [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  17. mpuyango

    Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki

    Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki Nigeria imekamata magunia 102 ya ''mchele wa plastiki'' yaliyokuwa yanaingizwa nchini humo na wafanyabiashara haramu ambao walitaka kuuza katika msimu huu wa sherehe, kulingana na afisa wa forodha katika mji mkuu wa nchi hiyo , Lagos. Uchunguzi...
  18. mpuyango

    Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Mkuu Mkeo hayupo humu JF
Back
Top Bottom