Search results

  1. jayleoncy112

    UDOM 1st YEAR 2019

    Habari Ndugu.. Kama Umechaguliwa Chuo kikuu Cha Dodoma Mwaka huu ... Tuma text whatsapp kwenye namba Hyo hapo Chini Ili uungwe kwenye Group za UDOM... na uweze kupata Information Mbali mbali kuhusu Chuo, Kozi, Mikopo, na vinginevyo... WhatsApp 0742470059
  2. jayleoncy112

    Ofa ya LAPTOP unapewa na Risiti

    Dell Inspiron 15 3000 series HDD 1000GB RAM 4GB PROC Core i3.... 1.9GHZ Slim laptop Battery 5-6 Hours 0742470059
  3. jayleoncy112

    Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

    Habari Wana JF. Kwa majina naitwa Sara... wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant... Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo...
  4. jayleoncy112

    Hp Probook Bei Chee

    Wauzaji wa Computer kwa bei rahisi Tanzania Mikoani Tunatuma... Unapewa Risiti Save Number For Future Orders [emoji16][emoji16] 0742470059
  5. jayleoncy112

    Hp Folio Kwa 480,000/=

    HP's EliteBook Folio is like a MacBook that runs Windows. HDD 500GB RAM 4GB Core i5 Long Life Battery Mikoani Tunatuma UDOM-TECH OFA 0742470059
  6. jayleoncy112

    Nauza kompyuta

    Nunua Computer yenye Uwezo kabla Hujaenda Chuo... Pata Laptops kwa bei Chee 0742470059 HP's EliteBook Folio is like a MacBook that runs Windows. HDD 500GB RAM 4GB Core i5 Long Life Battery Mikoani Tunatuma UDOM-TECH OFA 0742470059
  7. jayleoncy112

    Hp Folio Kwa 480,000/= tu

    HP's EliteBook Folio is like a MacBook that runs Windows. HDD 500GB RAM 4GB Core i5 Long Life Battery Mikoani Tunatuma UDOM-TECH OFA 0742470059
  8. jayleoncy112

    OFA....

    Leo Natoa Ofa uliza swali lolote kuhusu KOMPYUTA.... matatizo au ujuzi wowote.. na nikuelekeze Hapa chap.... [emoji39][emoji39]
  9. jayleoncy112

    Je, Rais Magufuli anadanganywa na watendaji wake?

    Nimeikuta sehemu hii kitu... '' Mh Magufuli anadanganywa na watendaji wake? Jana wakati wa mkutano wa baraza la wafanyabiashara kitu kimoja kilikuwa wazi. Kinachosemwa na serikali na hali halisi mtaani ni tofauti kama mbingu na dunia. Mfano wa kwanza: Kuna mwanamke alitokea bandarini akatoa...
  10. jayleoncy112

    Ufaulu wa wastani wa alama D darasa la saba 2017 anaweza kuenda kidato cha kwanza?

    habari wana JF, Nina swali ambalo watu wengi wananiuliza, kwamba je kwa wenye average ya D kwenye matokeo ya darasa la saba, wanaenda Form 1?? Naombeni msaada
  11. jayleoncy112

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    JE WAJUA? Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini? JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80... Pia Ni chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara... Ndani ya Chuo kiuu cha Dodoma kuna wizara nane...
  12. jayleoncy112

    LAKI TANO TU

    HABARINI WANA JF.... mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biashara kamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo.... Kila kitu kina mwanzo wake, natambua uwepo wa watu walioanza mapema ukulima, pia wakulima wa miaka mingi hapa.. Mwanzo wangu...
  13. jayleoncy112

    Je, wajua teknolojia ni ajira kubwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni tangu mwaka 2011 na kuendelea ndipo teknolojia ilikua kwa kasi nchini. Maana yangu kubwa ni kwamba teknolojia ni ajira kubwa sana kwa sasa hapa mjini. Je unajua unahitaji mtaji wa sh. lak 5 tu kuanza biashara. Je wajua masoko ya teknolojia yako wapi? Hebu naomba...
  14. jayleoncy112

    Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

    KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU... TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0 Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba...
Back
Top Bottom