hauna uzalendo. Kiswahili ni lugha yetu(lugha ya taifa) kama taifa lina lugha yake kwa nini lisiitumie badala yake kung'ang'ana na lugha ya kigeni? Kiswahili ni kibantu.
hauna uzalendo. Kiswahili ni lugha yetu(lugha ya taifa) kama taifa lina lugha yake kwa nini lisiitumie badala yake kung'ang'ana na lugha ya kigeni? Kiswahili ni kibantu.
Si mara ya kwanza kusikia kuwa hii ni kafara ya kila mwaka inayoendelea kule.
Kuna mtu aliconvert alinieleza on details hii kitu.
Cha ajabu wahusika wenyewe hawaoni...wanasema msongamano..sijui uzee...sijui magonjwa..
Ukisikia kitu kifanyie kazi ujue ukweli wake..sio kupinga tu kama...
Kwenye jumuiya hii hakuna aliye baba,mtoto wala kaka,kila nchi ina mamlaka sawa,if u take Tanzania as giant its u,and haya ni maneno ya mtaan ya wananchi wakawaida wachache,Tanzania yenywe haijasema kitu,wala kuweweseka. Tutawagonga kweli mkileta utani na huyo sniper wenu anayedungua watu chini...
Sijawahi kukubali unabii kama huu,unadhani Mungu mwenyewe hajui kuwa hawa watu wanaexist? Then kwanini awaache waendelee kuishi?(U cn refer King..ge), mfano JF ife ili...? Nyie ndo mnafanya watu wadhani kuwa religious ppl aren't intelligent,unavojinadi kuwa uliwatukana hao walosema hakuna...
Habarini wadau?
Tunakamua maziwa ya ng'ombe, ni halisi. na salama.
Hayana chembe ya nyongeza ya vitu vyovyote visivyohitajika ambavyo hupunguza ubora wake au ambavyo ni hatari kwa binadamu.
Bei kwa lita ni Tshs 1500,karibuni, kwa mawasiliano waweza tumia
0752 542 430 / 0782 040 948...
Simjibii mtoa hoja, im just saying, kwa mfano mimi, nlinunua simu yangu yenye internet ambayo ndiyo hii nayotumia hata kupostia nw kwa Tshs. 30,000/= tu ni Nokia 2730 classic, kwahiyo simu ya internet its nt a big deal nw adays, simu unaweza hata pewa bure.
Ng'wamapalala;6385194]Kwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kujinasibisha kama hawajari na hawana tatizo kuwa na rafiki wa karibu au ndugu ambaye anasaga na anayesagwa ( Lesbian). Mara nyingi wengi utawasikia wakisema, 'I don't mind and it's non of my business', lakini pale swala hili...
Ni ushauri mzuri,lakini nadhani wewe pia unahitaji kusoma vitabu,tena zaidi,na utagundua kuwa Nabii Issa unayemsema aliyezaliwa chini ya mtende jangwani siye Yesu Kristo masiha mkombozi wa ulimwengu wote!
kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.