Tunauza maziwa fresh - Dar

Tunauza maziwa fresh - Dar

Mwadilifu

Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
74
Reaction score
20
Habarini wadau?
Tunakamua maziwa ya ng'ombe, ni halisi. na salama.
Hayana chembe ya nyongeza ya vitu vyovyote visivyohitajika ambavyo hupunguza ubora wake au ambavyo ni hatari kwa binadamu.
Bei kwa lita ni Tshs 1500,karibuni, kwa mawasiliano waweza tumia
0752 542 430 / 0782 040 948,
tunapatikana Makongo Juu
KARIBUNI...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom