Search results

  1. Dmato

    TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

    nadhan nawewe ni Bashite, huna unachokifikiria hv piga picha angekuwa amepotea baba yako nadhan ndo ungeujua uchungu. Those are Roma`s fans ujue hicho kitu na wanafanya vile kuishinikiza serikali imtafte, acha kufuka ww. PERIOD.
  2. Dmato

    Hivi CHADEMA mtawaambia nini wananchi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020?

    ile ni national project, siyo ya chama chchte, akilini zenu zifanye kazi basi japo kidg
  3. Dmato

    Hivi CHADEMA mtawaambia nini wananchi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020?

    hoja yako haina mashiko, nadhan kichwa chako hakiko sawa, acha kuzifnya hoja za maendeleo za kitaifa na hoja za ilani ya Lumumba. Hivi kwa mfano unavosema eti mumejenga DART ni kweli mumjenga kwa kutoa pesa zenu za Lumumba ama? siamini kama upo sawa. 1st April was fool day
  4. Dmato

    Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

    then inatuhusu nin sasa wa mfano, ww acha kutuletea ubashite wako apa
  5. Dmato

    Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    mkuu uko vzr sana nmependa ulivotudadafulia, na imani mkulu ataupitia uzi wako nakupata kitu
  6. Dmato

    Kamati Kuu ya CHADEMA yafanya Uteuzi wa Wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki

    kura kuhusu kipute hicho zinapigwa vipi, msaada please
  7. Dmato

    Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

    soma jsp, php, laravel , c# and java, html na css u cant code anything bro, karibu tukupe darasa
  8. Dmato

    Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

    #Tukutane 2020
  9. Dmato

    Godbless Lema kupata dhamana? Mbivu na mbichi kujulikana leo

    Acha kuongea tumba ww uwe na speed governor ya mdomo
  10. Dmato

    Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

    Katika watu ambapo nawaonaga washamba hata ww wema ni mshamba sana ujue wazi, na sikupendi,
  11. Dmato

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    yaan hakuna kitu liverpool iattucost km kumwachia Courtinho aende dah, team itayumba sana
  12. Dmato

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mwenye hekima huwaza mawazo yenye utukufu, bali yeye wa dunia ufahamu wake umefunga na mawazo yake ni ya dunia, Mungu akutie nguvu sana ili uweze kuijua kweli na haki yake, ili uwe huru
Back
Top Bottom