Wadau wanaotaka kujua kuhusu kilimo cha njegere
WAkuu mwenye uzoefu tunaomba tuelekezane juu ya kilimo cha zao hili.
-----
----
----
Fahamu kiundani hatua za kulima njegere
Nakusihi kulima kilimo hiki kwa kwa sababu , kilimo cha njegere ni kilimo chenye tija kwa wakulima. Njegere ni mbegu...
Wakuu mwaka huu 2015 umekuwa tofauti sana na mwaka jana wa 2014. Soko la kitunguu limekuwa gumzo mwaka huu, mkulima kauza gunia moja la kg 100 mpaka Tsh. 250,000 shambani wakati mwaka wa jana miezi hii bei ilikuwa inachez kati ya Tsh. 30,000-50,000.
Nimefatilia kwa umakini sana juu ya...
alijitambulisha kwa jina la joseph, yeye anahusika na mbegu za vitunguu pamoja na kilimo chake bagamoyo na mikoan. Naombeni namba zake zinazopatikana ile 0655003510 haipatikani.
Je kuna yeyote aliyefanikiwa kununua bidhaa yoyote kupitia mtandao huu? Je ni salama? Mpaka kupata bidhaa yako ni mchakato wa siku ngapi? Naomba uzoefu wako.
Naombeni msaada wa maelekezo yenu juu ya aina gani nzuri ya Printer kwa ajili ya kusafishia picha za digital studio na bei zake. PRINTER YA KISASA KABISA ITAKAYONIWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWANI NIPO KTK MCHAKATO WA KUMILIKI PHOTO STUDIO.
Siku 5 zimepita sasa alikuwa anasumbuliwa na mafua na kikohozi kidogo. leo katapika tukampeleka hospital, huko kapimwa kaoneka na malaria, pia aliongezwa drip ya maji.
Tupo nyumbani bado hajatulia kama kawaida, tatizo hataki kula na ananyonya kidogo. Akilala anajinyonga nyonga, hatulii. Anaumri...
Nchi hii haiwezi kuendelea kama wananchi wa nchi hii hawatafanyakazi na kulipa kodi.
Tupo takribani 44,929,002 ila wanaokadiliwa kulipa kodi (watu pamoja na mashirika) ni 2.7 m.
Cha ajabu wabunge wetu licha ya kupata mishahara minono (takribani 12m kwa mwezi) hawalipi kodi. Mwalimu wa...
Vijana wengi hawajitambui, wanawaza siasa kwa mtazamo wa kuneemeka na maposho posho, wachache sana wanawaza siasa njia sahihi ya kuikomboa tanzania toka matatiszo yanayotukabili. we have to shape our minds, let us think the future of this country under national development perspective NOT on...
Rafiki yangu anasumbuliwa na Asthma. Kwa muda wa mwaka sasa kifua hakijambana ILA jana kimembana sana, alikuwa anapumua kwa tabu, mapigo ya moyo yanakwenda kwa kasi na miguu na mikono kutetemeka kama vile mtu mwenye degedege, mwili kuchemka na kutoa jasho jingi pia analalamika kichwa kinamuuma...
TRUE STORY: Kijana kajiua baada ya kudanganywa na rafiki zake kuwa ameathirika, alipata magonjwa ya zinaa, akaenda kupina na UKIMWI ikaonekana yupo NEGATIVE. Kwa uelewa wake mdogo wa lugha ya kingereza ikabidi aombe msaada wa tafsiri la neno hilo kwa wenzake ambao walimdanganya. Hili tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.