Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
TRUE STORY: Kijana kajiua baada ya kudanganywa na rafiki zake kuwa ameathirika, alipata magonjwa ya zinaa, akaenda kupina na UKIMWI ikaonekana yupo NEGATIVE. Kwa uelewa wake mdogo wa lugha ya kingereza ikabidi aombe msaada wa tafsiri la neno hilo kwa wenzake ambao walimdanganya. Hili tukio limetokea Singida majuzi.
Jamani tujenge utamaduni wa kufundishana lugha ya kingereza kwa wenzi wetu, tuelimishane juu ya HIV/AIDS pia!
Niliwamiss sana humu MMU! @ ALL
Jamani tujenge utamaduni wa kufundishana lugha ya kingereza kwa wenzi wetu, tuelimishane juu ya HIV/AIDS pia!
Niliwamiss sana humu MMU! @ ALL