Nimejaribu chaji 3 tofauti za tecno P5 but imeshindikana. Msada please!
kabadilishe kichwa cha chaja mkuu pia waya wa USB namanisha ukanunue hvo vfaa tena original yan ukatafute chaja ya tecno p5 na sio 2 kujaribu kila chaja ya smartfon.nakuambia ivo cz ilo tatzo limewai ntokea na nliangaika sana na nkajua labda tatzo betr ila nkaja kusolve ivo