RAILA Odinga anatoka katika moja ya familia maarufu kisiasa nchini Kenya. Baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga, alikuwa mmojawapo wa watu muhimu katika uwanja wa siasa nchini Kenya wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana 2017, na ndiye alikuwa mpinzani mkuu dhidi ya Rais Uhuru Kenyata ambaye...
Kupitia taarifa ya habari ya ITV muwakilishi wa Umoja wa Mataifa amempongeza Rais Magufuli kwa kuilinda amani ya Tanzania.
Muwakilishi huyo alikuwa anazungumza na walinda amani huko DRC, ameziasa nchi jirani kuiga namna Tanzania inavyolinda amani yake hasa pale wanapowasha mwenge kuaishiria...
Nimemekuwa nashangazwa pale ambako mkuu wa Wilaya au Mkoa kumpigia kampeni mgombea ubunge watu wana lalamika sana kuwa ni viongozi wa Umma na sheria yanmaadili yanviongozi wa umma inakataza. Vipi kuhusiana na Mawaziri wao sheria ya maadili ya viongozi wa Umma haiwahusu?
Miongoni mwa watumishi...
Tanzania ni nchi maskini na serikali ya awamu ya tano wana lengo la kwenda kwenye uchumi wa kati, ni jambo zuri ambapo kila mtanzania anapaswa kuunga mkono juhudi hizi za serikali.
Nimesikitishwa sana kwa nchi kukosa uwakilishi kwenye mkutano huu muhimu unafanyika Davos Uswiss, ambapo ni forum...
Ni jambo la kushangaza sana kama Nacte wanaweza kutoa namba zao simu kwaajili ya kuwasaidia wateja lakini hataki kupokea simu. Najiuliza nini tafsiri ya kutoa namba hizo?.
Inakulazimu unapopata tatizo mpakausafiri kwenda Dar ili tatizo Li solviwe. Inasikitisha sana kwa kweli kwa wanachokifanya...
Naiyomba serikali kupitia ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma kutoa list ya majina ya vyeti vyenye utata au vilivyotumika zaidi ya maramoja. Lengo ni kuepukana na usumbufu hapo badae. Ni wazi kwamba majina yatakapo tangazwa watumishi watafahamu hatua za kuchukua kabla ya tarehe ya...
President Yoweri Museveni’s recent state visit to Tanzania was to rescue the crude oil pipeline project after Dar officials pushed to revise the low tariff that lured Uganda to prefer the southern route to the one through Kenya.
When President Museveni flew to Dar es Salaam on February 25 on...
Ndugu wanajamvi salaam.
Awali ya yote nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa serikali ya awamu ya tano kwa juhudi kubwa za kurejesha misingi ya Taifa letu ambayo kwa kweli kwa kiasi kikubwa tulijisahawankidogo.
Nirudi katika swalazima zima la mada yetu ya kuilamu serikali kwa kiasikibwa...
LEO MH HECHE MBUNGE WA TARIME VIJIJINI AMEKABIDHI MIKATABA YA VIKUNDI VYA KINAMAMA NA VIJANA YENYE THAMANI TSH.212,500,000/=
Leo mh John Heche amekutana na vikundi 118 vya Kinamama na vijana vya jimbo la Tarime vijijini ambavyo vimekuposhwa Tsh 212,500,000/=
Kikao hicho kilichofanyika...
Mtakumbuka wakati mh. RaisMagufuli wakati akizindua siku ya mahakama alisema kuwaserikali yake haitasomesha wafanyakazi na badalayake waende bodi ya mikopo kuomba mikopo kwa wale wanaotaka kujiendendeleza iliwapate mikopo kwaajili ya kujikimu wakati wakati wakujiendeleza kielimu.
Jambo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KAOGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya
Ndugu wana Jf salaam,
Kwanza nianze kwa kumpongeza Rais Magufuli kwa kuwateua wakuu wa wilaya ambao kwa kweli kwa sehemu kubwa ni vijana na sio vijana tu pia wasomi. Nimaniyangu kwamba watamuakilisha Rais ipasavyo katika kutekeleza majukumu yao.
Pamoja na pongezi hizi kwa mh. Rais lakini...
Siku ya leo Rais Dr. John Magufuli atazindua kituo cha call centre kwaajili ya kuleta ufanisi wa Utoaji huduma kwa jeshi la polisi hasa pale panatokea matukio ili jeshi liwezi kupata taarifa na kutoa huduma haraka iwezekanavyo.
Jambo muhimu hapa ni kuangalia je serikali wamejaribu kuangalia...
Kama tunavyojua hospital ya Taifa ya Muhimbili wamebadilisha mfumo wa Utoaji huduma hasa katika suala zima la chakula kwa wagonjwa.
Katika Utoaji huu wa huduma je serikali imezingatia kwa wananchi wanaotumia huduma ya bima hasa kwa kuzingatia watu wengi wanatumia bima za NHIF kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.