dyeanka
Member
- Jun 19, 2016
- 96
- 70
Siku ya leo Rais Dr. John Magufuli atazindua kituo cha call centre kwaajili ya kuleta ufanisi wa Utoaji huduma kwa jeshi la polisi hasa pale panatokea matukio ili jeshi liwezi kupata taarifa na kutoa huduma haraka iwezekanavyo.
Jambo muhimu hapa ni kuangalia je serikali wamejaribu kuangalia changamoto zinazowakabili polisi husani makazi ya polisi? Kwani niukweli kwamba yawezekana yawezekana serikali ikaweka miundombinu bora sana lakini bila kungalia changamoto hizi yawezekana jitihada hizi zisizae matunda hasa kumuhudumia mwananchi.
Wito wangu kwa serikali ni kuangalia changamoto hizi za jeshi la polisi hasa kwa kuboresha makazi yao lakini pia ikumbukwe kwamba kuboresha kazi ya Jeshi sio tu kwa mkoa wa Dar es salaam bali iwe ni kwa nchi nzima hasa mikoa ya pembezoni.
Mabadiliko hayaepukiki kutokana Mabadiliko ya duniani ya technology.