dyeanka
Member
- Jun 19, 2016
- 96
- 70
Mtakumbuka wakati mh. RaisMagufuli wakati akizindua siku ya mahakama alisema kuwaserikali yake haitasomesha wafanyakazi na badalayake waende bodi ya mikopo kuomba mikopo kwa wale wanaotaka kujiendendeleza iliwapate mikopo kwaajili ya kujikimu wakati wakati wakujiendeleza kielimu.
Jambo lakushangaza ni kwamba bodi wametoa masharti ya wanaotakiwa kukopa kwenyebodi ya mikopo na kuwekakipengele kinachodai mojayawakopaji wasiwe watumishi. je bodi ya mikopo wanapingana na maagizo ya mh.Rais?
Niukweli kwamba nia ya Rais Magufuli nikutaka kuipunguzia serikali gharama ya kusomesha watumishi kwa kuagizabodi iwapatie mikopo watumishi wake. kwani niukweli kwamba bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikiwa Kopesha wafanyakazi wa serikali inakuwa ni rahisi kwa wao kurejesha mikopohiyo kwani rahisi kuwapata kutokana na waokuwa tayari wameajiriwa.
My take bodi angalieni tenakipengele hiki kwani niukweli kwamba kinaleta ubaguzi. Na kama kuna tatizokwa watumishi kukopa muweke bayana.