Na hili swala linakera sana, ndiyo mana mimi nashanga viongozi kuimba ujinga mambo ya viwanda wakati hata vilivyopo vinatoa ajira za kimagumashi!!
Hiyo wizara ya kazi na ajira wala sijuhi wanachofanyaga nini!
Ndiyo mana mtu anayesali kwa hawa watu wanaojidai walokole huwa namfikiria anaupungufu flani katika kuwaza na wengi biblia hawaisomi wanaenda kukaririshwa tu kila aina ya maneno ya ajabu ajabu!
Wewe ukiona mke anapewa overtime za kutosha, jua tu kuna anayejimegea huko,
Maisha ya ndoa na mke anayefanya kazi yanahitaji uvumilivu sana,
alaf weekend ndiyo unakuta kavaa ile nguo ambayo kwa harakaharaka aileti usumbufu!
Kwa kizazi cha kuanzia 80 hadi sasa tunanizamu za uwoga ila kuna mambo yasipo badilika hichi kizazi tunachokiacha sisi kitakuwa ni hatari kuliko tunavyofikiri!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.