Search results

  1. Cesar

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Ufugaji wa Excel na Kilimo cha Kutumia M-Pesa kimeumiza wengi sana
  2. Cesar

    DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    Max Malipo wametoa taarifa kwa umma (attached) sasa jibu tumepata kua Simon Group hawana nia nzuri na Mradi huu uliotumia pesa za walipa kodi za nchi hii.
  3. Cesar

    DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    mimi ni mlaji siwezi kua na ushabiki awe selcom /maxmalipo/ etc nahitaji huduma bora
  4. Cesar

    DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    inasikitisha sana kuona watu wetu wasomi na wataalamu wakiangalia mradi huu ukifa kwa kwel inaumiza sana.Mradi huu unaelekea ukingoni kwa sababu zifuatazo: 1.Huduma ni mbovu sana hasa kwa wakatisha ticket na wale watendaji wengine vituoni 2.Upatikanaji wa ticket ni changamoto mnoo 3.Uhaba wa...
  5. Cesar

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    vijana wa leo mjiulize na mjifunze,Agnes amefariki je ameacha Legacy gan au jambo gan la mfano na kukumbukwa zaid ya watu ku refer makalio yake makubwa
  6. Cesar

    Bakhresa group punguzeni udini

    Udini upo: SSB MO DEWJI GSM GROUP OF COMPANIES
  7. Cesar

    Nawasilisha Micro-finance Management System kwenu wadau

    Big Up sana Big up sana. kazi nzuri marekebisho machache sana naona lakin so far unaweza ipeleka sokoni
  8. Cesar

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Michango ya Harusi: jambo hili linachosha sana mathalan kwa miezi hii baada ya Easter unakuta mtu una card zaidi ya tano (mimi binafsi nnazo saba) ,minimum mchango ni TZS 50,000 na unatakiwa kwenda kwenye wedding utatumia extra cost minimum TZS 40,000
  9. Cesar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu nijuze hapa ,so hizi umeweka kama single lkn amount ni ya zote?
  10. Cesar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Juventus win & 4.5 goals Paris FC win Leipzig under 3.5 goals Marseille x2 & under 3.5 goals weka pesa hapo tukutane Serena kesho kwenye show ya Lady Jay Dee Komando
  11. Cesar

    Huduma mbovu wakala wa mabasi yaendayo haraka

    nilifanya kosa sikujua kama tatizo litakua kubwa kiasi hicho
  12. Cesar

    Huduma mbovu wakala wa mabasi yaendayo haraka

    Wakuu habari, Mimi ni mtumiaji sana wa mabasi haya yaendayo kwa haraka na nimevumilia sana kero zote za mabasi haya lakini tukio lililonikuta siku ya Alhamisi tarehe 25 January 2017 ni la kusikitisha sana sababu nilinyanyasika sana. Ilivyokua... Nilitoka kibaruani kwangu nikapanda basi la...
  13. Cesar

    Ufisadi Chama Cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kilianzishwa mwaka 1993 kwa lengo la kutetea haki za walimu Tanzania,Mwalimu yoyote by default anakua ni mwanachama wa chama cha Walimu Tanzania (CWT). Kila mwezi walimu wote hukatwa kwenye mishara yao michango kwa ajili ya CWT,michango hii imekua na ufisadi wa hali ya...
  14. Cesar

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    networking marketing ukielezewa jinsi utakavyopata mamilioni unakua impressed sana.rudi kwenye uhalisiaa ndio utajua kwanini Kenge hana Manyoya,nili fail completely sitarudia tena
  15. Cesar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    shida kubwa ya hapa bongo ni watu kuweka betslip timu 15 huwez kula kamwe ndio maan makampuni ya betting yanafungua kwa wingi maana hapa wanapata profit sana. weka game 1 - 2 stake big haya sure bet ya leo Russia Footbal Gazovik vs Yenisey GG & 3 weka mzigo
  16. Cesar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    correct score Le Havre vs Reims 1:1 Huesca vs Zaragonza 1:1 weka mzigo
  17. Cesar

    Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

    ujana maji ya moto
  18. Cesar

    Lukuvi: Rais Magufuli ameivunja Mamlaka ya Usimamizi wa Mji Mdogo wa Kigamboni (KDA)

    bado ukiritimba kwenye kupata building permit Kigamboni nao uishe
Back
Top Bottom