Search results

  1. MDANGANYIKAJI

    How will i get true love?

    Nalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
  2. MDANGANYIKAJI

    Wanaopenda kupungua tuonane

    Kuongezeka uzito wa mwili imekuwa ni tatizo kubwa linalokabili jamii. Nimeonelea kuunda group whatsapp ambalo tutakuwa tunajadili na kupeana motivational na tips mbalimbali za kupungua. Na mm pia nitashare na nyinyi tips zilizonipunguza bila kutumia dawa. Kwa watakaopenda kuungana na hili...
  3. MDANGANYIKAJI

    Mabinti zetu club!

    Hivi ndio inatakiwa iwe au?
  4. MDANGANYIKAJI

    Hii ni watoa lifti wote

    Jamani kwa wenzangu na mimi wenye magari please be alerted that kuna utapeli mpya umeibuka jijini. Ni kisa cha kweli kwamba kuna jamaa alitoa lifti kwa askari wakapiga stori fresh na jamaa akafunguka anapoelekea, then akaomba kushuka mita chache mbele, suprisingly enough baada ya yule askari...
  5. MDANGANYIKAJI

    Maziwa ya kopo yanayofaa kwa mtoto mchanga

    Nina mtoto mchanga wa miezi 2 na nakaribia kurudi kazini sijajua ni maziwa gani bora ya kopo ya kumwanzishia naombeni msaada wadau
  6. MDANGANYIKAJI

    Nimepata period mwezi mmoja baada ya kujifungua je ni kawaida?

    Nilijifungua mwezi wa kumi na mbili na nilipata period mwezi wa kwanza normally! Ingawa nasikia unatakiwa ukae for sometime up to six months bila kuona! Nanyonyesha vizuri na mtoto anaongezeka uzito, je kuna tatizo kwangu? Naombeni msaada
  7. MDANGANYIKAJI

    Lady jaydee ni mjamzito

    hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU...
  8. MDANGANYIKAJI

    Shule ipi nzuri kwa a-level wavulana

    Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
  9. MDANGANYIKAJI

    Makampuni ya simu na mishahara kiduchu

    Nina marafiki wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya simu lakini system hii ya kuajiliwa na agents then unapewa half of your salary sidhani kama ni fair. Eg. Airtel net salary ni 270000 regardless you are graduate or having certificate for customer care while you work in 9 to 10 hours with...
  10. MDANGANYIKAJI

    Summarization ya hotuba ya kikwete

    NIONAVYO MIMI KAMA MTANZANIA HOTUBA YA KIKWETE NAWEZA KUISSUMARIZE KAMA IFUATAVYO; 1) KUJIHAMI KWA YALE YALIYOTOKEA KWA MAPRESIDENT WENZAKE WA TUNISIA,EGYPT NA LIBYA YASIZUKE BONGO 2)KUJENGA BACKGROUND NZURI YA KUWAKAMATA VIONGOZI WA CHADEMA ILI YAKITOKEA WASEME SI TULIWAAMBIA JAMANI...
  11. MDANGANYIKAJI

    Ufisadi Chuo Kikuu Mkwawa

    UONGOZI wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa(Muce), unakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli mbalimbali chuoni hapo. Ufisadi huo unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa chuo hicho ni pamoja na wizi wa fedha za...
  12. MDANGANYIKAJI

    "kwanini kikwete anamwogopa sana Dr.Wilbrod Peter Slaa"

    kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania, itimisho nililofikia ni kuwa Mh. Kikwete anaofu ya waziwazi na Dr.slaa....ninachojiuliza ni kwanini ilihali yeye ndo mkuu wa hii nchi?...naomba nirejee sababu zilizosababisha nifikie katika hitimisho hili...kwanza kikwete amevumisha...
Back
Top Bottom