Summarization ya hotuba ya kikwete

MDANGANYIKAJI

Member
Jan 27, 2011
77
59
NIONAVYO MIMI KAMA MTANZANIA HOTUBA YA KIKWETE NAWEZA KUISSUMARIZE KAMA IFUATAVYO;
1) KUJIHAMI KWA YALE YALIYOTOKEA KWA MAPRESIDENT WENZAKE WA TUNISIA,EGYPT NA LIBYA YASIZUKE BONGO
2)KUJENGA BACKGROUND NZURI YA KUWAKAMATA VIONGOZI WA CHADEMA ILI YAKITOKEA WASEME SI TULIWAAMBIA JAMANI.........
3)AMEOGOPA NGUVU YA UMMA CAUSE ALMOST HOTUBA NZIMA INAONYESHA WOGA WAKE KWA NGUVU YA UMMA

NB;My president mimi honestly ni mtu mmoja wapo ambaye bado naamini unaweza kuongoza Tanzania lakini tatizo kubwa lipo kwa washauri wako nikiangalia hii hotuba nachelea kuamini kuwa this is not you ni sauti za wanafiki na wanaogopa kuumbuliwa wanaoona siku zao zinahesabika so wanakutumia wewe kama chambo ya kufikisha ujumbe please tibu yaliyo ndani yako my president before kuangalia mchawi inawezekana ukawa wewe ndo utachochea amani kuvunjika kwa hotuba hii
REJEA HOTUBA YA HILLARY CLINTON ALIYOTOA LEO MY PRESIDENT
 
ni kweli kikwete amaogopa nguvu ya umma personally sioni dalili zozote za chadema kusababisha uvunjifu wa amani nadhani chadema walikua wanamjaribu JK au niseme walikua wanatikisa kiberiti na sasa wameona kumbe kiberiti kinatikisika. Hongera chadema kwa technique mliyoitumia sasa mmefahamu kuwa kikwete anayumba.
 
Namshauri kikwete atumia blog na vyombo vya habari kukusanya views za watanzania na mojawapo ya skill ya kiongozi mzuri ni kuwa upande wa watu wake kikwete kua upande wa watanzania wasikilize and use all your power kutekeleza i know you can but ni kiburi tu kwamba isionekana unafata ya cdm my president sihitaji umwagaji wa damu naamini unaweza rudisha imani kwa vitendo
 
Back
Top Bottom