Search results

  1. more88

    Nimepoteza sense of smell siku ya 4 leo. Mungu fundi

    Mimi mbavu zinabana nikikohoa mtaa niliopo wengi wanaumwa hii kitu nahisi kama bado ipo
  2. more88

    Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

    Nahis pm alishtuka sana hakutegemea ila nimemsaidia kujisikia vibaya kama ni mimi vile nimeambiwa.
  3. more88

    Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

    nashuru mungu kuumbwa wa kiume.
  4. more88

    Tumeikumbuka Dar ya Makonda ghafla

    Huyu ni #yeye#
  5. more88

    Epuka uhalifu unaofanywa na wasajili laini za simu, piga *106# kuhakiki namba zilizosajiliwa kisha weka namba yako ya NIDA

    nimepiga simu nshazifunga Shida itakuwa namba za siri kwenye kutoa hzo pesa
  6. more88

    Epuka uhalifu unaofanywa na wasajili laini za simu, piga *106# kuhakiki namba zilizosajiliwa kisha weka namba yako ya NIDA

    Aisee hawa vijana wanaosajili line mtaani wanafanya uhalifu ambao kimsingi wanatakiwa kwenda jela. Leo nimehakiki line nilizosajili kwa kitambulisho cha NIDA, aisee nimeshangaa yani kukuta namba kibao ambazo sijazisajili kumbe kuna uhuni wanakufanyia unaposajili kumbe kuna namba zao...
  7. more88

    Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Huku pia ni balaa
  8. more88

    Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Ni kweli mkuu nlishawahi kuhudhuria fiesta moja ilifanyia kiwanja flan cha chuo kikuu aisee madem wa chuo wanajirahisisha sana kwa wasanii.
  9. more88

    Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha
  10. more88

    Hivi kwanini watu hupenda sifa wakiongea na simu?

    Ukiona mtu anajisifia chips sijui nyama ujue wengi wao wametokea njaa kali sana basi anaona ni ufahari kula hvo vitu, na wengi wenye misifa ya simu kwenye daladala wengi wao unakuta wameona aidha dem mkali kwenye hyo daladala mana wengi wao huwa ni wanaume,
  11. more88

    Lavalava amka, hatukuoni ukitusua nje ya WCB

    Anatanua body gym! Ebooo.
  12. more88

    Arusha: Wafanyabiashara maduka madogo wawekewa makufuli kwenye biashara zao

    Kama kichwa kinavyojieleza, leo hii katika kata ya Sakina Arusha tumeona wafanya biashara wadogo wenye mitaji ambayo wengi wao ni kuanzia laki 5 hadi milion 2 wakifungiwa biashara zao na maafisa waliojitambulisha kuwa wanatokea Manispaa ya Arusha Kuna baadhi walipewa vitambulisho vipya vya...
Back
Top Bottom