Search results

  1. raxx

    Ally Hapi awa mbeba magunia

    Hapo mtu anapiga ela wewe unasema hujafa hujaumbika.
  2. raxx

    Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  3. raxx

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Kwa ulicho kieleza hapa mimi binafsi sijaona hao madogo walipo zingua.....kama kweli gazeti lake lina habari mbili zinahusu uchumi ulitaka andike hoja kumi azitoe wapi?
  4. raxx

    Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Haya maneno mawili ya mwisho umemaanisha nini?
  5. raxx

    Bashe: Tusiingize siasa kwenye Kilimo tuache soko liamue, tusirudie makosa ya 2017 na 2018!

    Hoja yake ni tuache soko liamue bei mkuu. Mimi naona ni jambo zuri, sio Yale mambo ya mtu mmoja kusimama nakusema maindi yatanunuliwa Kwa tsh 200 Kwa debe, then hoja ya mazao kutoka nje ya nchi ni hoja nyingine.
  6. raxx

    Mtu anatoa pesa ATM anaanza kuzihesabu palepale

    Camera inajuaje kama ulificha? Nisaidie mkuu
  7. raxx

    Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    😂😂😂😂. Mimi kama sijapendeza siwezi kwenda bar
  8. raxx

    Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

    Vijana Tunadhani kuwa na fedha kunafanya upate real Love..Vijana wenye mtazamo huu nadhani bado hawana Fedha Pesa ni muhimu katika mapenzi lakini lakini sidhani kama utakuwa na furaha kujua kabisa kwamba huyu mwanamke kanipendea Pesa, inakata stimu kabisa.
  9. raxx

    Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

    Ndio ninachofanya hicho Dada yangu.....nitafanyaje sasa, unakuta nishavamia mtumbwi wa kibwengo.
  10. raxx

    Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

    Hakuna kitu nachukia kama Demu kuniona Danga...nimekutongoza leo kesho eti kafiwa anataka nauli ya kwenda msibani. Hahahahahaha Njaaa tupu alafu kinachouma zaidi unakuta hata kudanganya hajui
  11. raxx

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    😂😂😂
  12. raxx

    Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

    Kiukweli hili ni tatizo, Kuna mmoja nilitaka kufa kabisa kwa ile harufu hapo hapo ilinibidi niwahi kumeza AZUMA . Alafu dawa ya hizo infenction ni nafuu sana sasa sijui wenzetu wanapenda iyo harufu
  13. raxx

    Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

    Mimi nilivyo uona huu uzi nikasema labda mkuu anakuja kutoa suruhu ya kidini kutukanya kuhusu mabishano yetu kidini kumbe na yeye ni mtu wa mabishano yakidini hivyo ameamua kuleta ubishi tena watu tuanze kubishanaa. ,😂😂😂😂
  14. raxx

    Ma cashier wa mwendo kasi wana ujanja wa kuuza ticket za mwanafunzi kwa watu wazima kisha kinachozidi 450 ni chao.

    Ukikaa sehemu kama izo usipo kuwa milionea basi unatakiwa kuchapwa fimbo kabisa...mkuu acha wafaidi keki ya taifa na wao.
  15. raxx

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Hili Hili watu wakijisumbua sana linaweza kujibika
  16. raxx

    Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

    Wakuu hamjambo? Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke. Yaani ile Incredible Genius Mind , ile creativity capacity, ile mysterious capacity of doing things beyond Impossibility. Sifa hizi zote za...
  17. raxx

    Nimemuhonga zaidi ya laki tisa, nimekopa 5,000 tu ananidai kila siku

    Ivi inawezekana vipi mtu unayemwita demu wangu, mwanamke wangu, akuambie maneno hayo mwisho wa uzi wako? Guys tatizo lenu mnaishi na wanawake kana kwamba wao ni malaika. (Care iliyopitiliza) mwisho mnageuza kuwa mandondocha. Hapo amekwambia umuache na ukome akijua wazi huwezi kumuacha...
  18. raxx

    Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

    Buza kwa mpalange au Buza ipi iyo
  19. raxx

    Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

    Na kakikombe ka sukari kabisa
Back
Top Bottom