King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,721
- 68,730
Daaah tusirudie makosa ya 2017 na 2018 Hahaaaa Legacy imeguswa.
Bashe nilidhani ana maarifa kumbe ni empty shell!
Hakuna Mkulima wa Tanzania anayeuza mahindi nje ya Nchi muda huu! Hao ni wachuuzi walio hold mahindi ndo wanauza sasa!
Mtu mwenye akili angezuia mahindi kutoka nje na kuwataka hao wachuuzi wauze Soko la ndani ili ku saturate Soko la ndani ili kushusha bei ya mahindi!
Wakulima wengi sasa wananjaa ya kufa mtu na wananunua mahindi amboni (kilo 4) kwa tshs.elfu sita( 6,000). Bashe ni smart mbele ya mazuzu!
Wewe ndio inabidi uangalie ulicho andika, toka lini mkulima akauza yeye mwenyewe labda awe na uwezo huo, biashara ni mnyororo kuna watu wengi kati lakini kuna kitu kimoja hapa haiwezekani bei ikawa kubwa kwa mtu wa mwisho halafu mkulima akauza bei ileile ya chini hakuna kila demand ikizidi na huku chini bei inazidi usidhani kama wakulima wajinga kiasi hicho ni kama nyanya sokoni ikipanda basi lazima ujuwe hata huko inakotoka inapanda kidogo. Biashara inapita kwenye mikono mingi sasa wewe umekaa mjini mtu akuletee bidhaa halafu utegemee ununue bei ya shambani? % inapanda sawasawa toka chini mpaka juu. Bashe yuko 100% sawa dawa ni kuzidisha uzalishaji sio kupanga bei. Bei zikiwa zinavutia uwekezaji utakuja ni demand and supply hakuna mbadala wa formula hii.Bashe nilidhani ana maarifa kumbe ni empty shell!
Hakuna Mkulima wa Tanzania anayeuza mahindi nje ya Nchi muda huu! Hao ni wachuuzi walio hold mahindi ndo wanauza sasa!
Mtu mwenye akili angezuia mahindi kutoka nje na kuwataka hao wachuuzi wauze Soko la ndani ili ku saturate Soko la ndani ili kushusha bei ya mahindi!
Wakulima wengi sasa wananjaa ya kufa mtu na wananunua mahindi amboni (kilo 4) kwa tshs.elfu sita( 6,000). Bashe ni smart mbele ya mazuzu!
Miaka 60 hiyo system yako unayoipigia kelele imemsaidia nini mkulima? kwa hiyo tuendelee hivyo hivyo halafu utegemee matokeo tofauti au? njoo na option tofauti lakini usije na hoja za zamani zilizoshindwa. Sasa mkulima ulitaka akauze mwenyewe Dar au? mkulima ana anazalisha, anauza anayenunua anauza naye anauza mpaka inamfikia mlaji ndio biashara. Hata Azam anazalisha, anauza kwa jumla naye anauza kwa reja reja kuna watu katikati ni system hiyo. sasa wewe ukisema mahindi kwa mkulima rahisi nenda kijijini utakutana na bei watu sio wajinga.Bashe ni kilaza haijui sekta ya Kilimo ya nchi hii na ameshindwa kufahamu na hataweza kujua jinsi wakulima wanavyonyonywa na Wafanyabiashara uchwara.
Na kiingereza chake Broken (it is very danger 🤣🤣)
Huyu waziri si mwelewi hata kidogo!!Bei lazime iwe regulated .why bia zina ukomo wa bei? Why Serikali Ina weka ukomo wa gharama ya matibabu? Mawaziri vweingine mzigo kwa kweliMzee Mgaya haulali au unasubiri kiporo Cha Mihogo?!
Kila.za wewe hujui chochote! Hakuna Mkulima mwenye mahindi muda huu.Wewe akili ndiye huna
Bei ya mkulima anapata sasa hivi nzuri mno
Wanunuzi wapeleka nje wananunua law bei nzuri mno
UongoKila.za wewe hujui chochote! Hakuna Mkulima mwenye mahindi muda huu.
Wakulima wote wanaombea mvua inyeshe walime.Wakiivisha kwa pamoja wachuuzi watashusha bei na kuyarangua yote na kuweka stoo wakisubiri tena bei ipande!
Wewe rudi kwenye betting na ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga kwa hayo ndo kichwa chako kina uwezo nayo pamoja na kufugia nywele!
Yapo kibao sawa, ni ya Mkulima au Mchuuzi?!Uongo
Ruvuma yako kibao
Hivi watz mbona tunakuwa wapumbavu na kupenda kuishi kwa kutumia jasho la watu wengine?Bashe nilidhani ana maarifa kumbe ni empty shell!
Hakuna Mkulima wa Tanzania anayeuza mahindi nje ya Nchi muda huu! Hao ni wachuuzi walio hold mahindi ndo wanauza sasa!
Mtu mwenye akili angezuia mahindi kutoka nje na kuwataka hao wachuuzi wauze Soko la ndani ili ku saturate Soko la ndani ili kushusha bei ya mahindi!
Wakulima wengi sasa wananjaa ya kufa mtu na wananunua mahindi amboni (kilo 4) kwa tshs.elfu sita( 6,000). Bashe ni smart mbele ya mazuzu!
Acha uzwazwa wewe, unawajua wakulima wa tz kweli? Au unazani kila mtu analima kama sumry? Kwa taarifa yako wakulima wengi wanalima kwa madeni kwahiyo akivuna tu mzigo unauzwa palepale hakuna mkulima mwenye mahindi au mchele hadi leo msimu mpya wa kilimo unapoanza, wenye mzigo sasahivi ni wafanyabiashara walionunua kwa mkulimaWewe akili ndiye huna
Bei ya mkulima anapata sasa hivi nzuri mno
Wanunuzi wapeleka nje wananunua law bei nzuri mno
Hivi unadhani wakulima wa miaka 50 iliyo pita ni sawa na wa sasa hivi?Kila.za wewe hujui chochote! Hakuna Mkulima mwenye mahindi muda huu.
Wakulima wote wanaombea mvua inyeshe walime.Wakiivisha kwa pamoja wachuuzi watashusha bei na kuyarangua yote na kuweka stoo wakisubiri tena bei ipande!
Wewe rudi kwenye betting na ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga kwa hayo ndo kichwa chako kina uwezo nayo pamoja na kufugia nywele!
Ningekujibu ila naona napoteza muda wangu kwani wajinga mmezidi hapa Tanzania!Wewe ndio inabidi uangalie ulicho andika, toka lini mkulima akauza yeye mwenyewe labda awe na uwezo huo, biashara ni mnyororo kuna watu wengi kati lakini kuna kitu kimoja hapa haiwezekani bei ikawa kubwa kwa mtu wa mwisho halafu mkulima akauza bei ileile ya chini hakuna kila demand ikizidi na huku chini bei inazidi usidhani kama wakulima wajinga kiasi hicho ni kama nyanya sokoni ikipanda basi lazima ujuwe hata huko inakotoka inapanda kidogo. Biashara inapita kwenye mikono mingi sasa wewe umekaa mjini mtu akuletee bidhaa halafu utegemee ununue bei ya shambani? % inapanda sawasawa toka chini mpaka juu. Bashe yuko 100% sawa dawa ni kuzidisha uzalishaji sio kupanga bei. Bei zikiwa zinavutia uwekezaji utakuja ni demand and supply hakuna mbadala wa formula hii.
Unaongeo nini Mkuu,mimi ata sijakuelewa.Unamsifia Waziri bogus na mjuaji.Wakulima wa miaka wa miaka ya 60 ndiyo walioiinua Uchumi wa nchi kupitia vyama vyao vya ushirika na walikuwa na uwezo wa kusomesha watoto wao kwasababu hawakunyonywa kizembe kama anavyofanya uyo Kilaza wako.Aache propaganda asimamie maslahi ya wakulima kwa kuimarisha vyama vya ushirika,ahakikishe Kilimo kinakuwa na tija, ahakikishe wakulima wanapata mafunzo ya kisasa ya Kilimo,akutane na wakulima kusikiliza kero zao nk.Siyo kutuongelea Broken English na kuuza hazina ya chakula ovyo!Miaka 60 hiyo system yako unayoipigia kelele imemsaidia nini mkulima? kwa hiyo tuendelee hivyo hivyo halafu utegemee matokeo tofauti au? njoo na option tofauti lakini usije na hoja za zamani zilizoshindwa. Sasa mkulima ulitaka akauze mwenyewe Dar au? mkulima ana anazalisha, anauza anayenunua anauza naye anauza mpaka inamfikia mlaji ndio biashara. Hata Azam anazalisha, anauza kwa jumla naye anauza kwa reja reja kuna watu katikati ni system hiyo. sasa wewe ukisema mahindi kwa mkulima rahisi nenda kijijini utakutana na bei watu sio wajinga.
Kwa hiyo kama ni wafanya biashara ndio hawatakiwi kupata faida kutokana na biashara yao?Acha uzwazwa wewe, unawajua wakulima wa tz kweli? Au unazani kila mtu analima kama sumry? Kwa taarifa yako wakulima wengi wanalima kwa madeni kwahiyo akivuna tu mzigo unauzwa palepale hakuna mkulima mwenye mahindi au mchele hadi leo msimu mpya wa kilimo unapoanza, wenye mzigo sasahivi ni wafanyabiashara walionunua kwa mkulima
Shida ni kwamba mtu akipata madaraka anapata feeling kwamba yupo smart kumbe hakuna kitu...tatizo la Bashe hasikilizi lakini ndio uwezo wake.....Bashe nilidhani ana maarifa kumbe ni empty shell!
Hakuna Mkulima wa Tanzania anayeuza mahindi nje ya Nchi muda huu! Hao ni wachuuzi walio hold mahindi ndo wanauza sasa!
Mtu mwenye akili angezuia mahindi kutoka nje na kuwataka hao wachuuzi wauze Soko la ndani ili ku saturate Soko la ndani ili kushusha bei ya mahindi!
Wakulima wengi sasa wananjaa ya kufa mtu na wananunua mahindi amboni (kilo 4) kwa tshs.elfu sita( 6,000). Bashe ni smart mbele ya mazuzu!
Hii slogan sijawahi kuielewa.Siasa ni Kilimo
Karibu IringaHii slogan sijawahi kuielewa.
Vyama vya ushirika? kweli wewe unaishi miaka ya 80 huko. Ndio wapigaji wakubwa huko uchukuwe mali ya mtu kwa mkopoUnaongeo nini Mkuu,mimi ata sijakuelewa.Unamsifia Waziri bogus na mjuaji.Wakulima wa miaka wa miaka ya 60 ndiyo walioiinua Uchumi wa nchi kupitia vyama vyao vya ushirika na walikuwa na uwezo wa kusomesha watoto wao kwasababu hawakunyonywa kizembe kama anavyofanya uyo Kilaza wako.Aache propaganda asimamie maslahi ya wakulima kwa kuimarisha vyama vya ushirika,ahakikishe Kilimo kinakuwa na tija, ahakikishe wakulima wanapata mafunzo ya kisasa ya Kilimo,akutane na wakulima kusikiliza kero zao nk.Siyo kutuongelea Broken English na kuuza hazina ya chakula ovyo!