Wakuu, Nilifanikiwa kulipwa Ile 33.3% ya NSSF, naomba kufahamu Kwa yoyote mwenye kujua, inachukua mda gani na hatua mpaka kupata malipo yaliyobaki baada ya kutimiza miezi 18. Natanguliza shukrani..
Ndugu wana JF,
Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi.
Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
Mkuu kuna kulipwa nusu (50%) ya michango yako endapo umechangia chini ya miezi mitano na ikiwa ulikuwa unafanya kazi za kitaaluma, lakini kuna kulipwa kiasi kilichopo ikiwa michango yako haijakamilika hivyo unaomba ulipwe kiasi hicho waati ukisubiri michango mingine kukamilishwa
Daah, hii inakuwa ni changamoto kubwa sana. Hususan kwa mtu ambae yupo mkoa tofauti. Nashukuru mkuu #pwilo. Maana madai hayajalipwa mpaka sasa kutokana na michango kutokamilika
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF...
Michango yangu inasoma last date kwenye Statement as January 2020, ofisini wameniambia kupeleka michango yote hadi ya Jan 2021. Hapo ndo napata tafarani kuelewa
Michango yangu inasoma last date kwenye Statement as January 2020, ofisini wameniambia kupeleka michango yote hadi ya Jan 2021. Hapo ndo napata tafarani kuelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.