Search results

  1. Uta Uta

    Kaze katupachika jina gani wana Yanga?

    Habari wanajamvi? Kwa siku za karibuni kila kocha akiondoka Yanga huwa anatuacha na jina. Mara tuliitwa wapumbavu, wajinga, hatuna akili, nyani, golira hayo ni baadhi tu ya majina tuliopewa na makocha. Je, Kaze katuacha na jina gani?
  2. Uta Uta

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Bi. Ummy Mwalimu

    MH Waziri pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Mh Waziri tumeitikia kwa dhati wito wako ulioutoa kwa jamii nzima ya watanzania kuhahkikisha wanapata kadi za bima za afya wao na familia zao. Tunashukuru lengo ni zuri na inatusaidia sana sisi wa kipato cha chini kupata matibabu ya gharama nafuu...
  3. Uta Uta

    Hela hela helaaaaa

    Habari jamani? Yaani hii hela kila hatua ni taabu tu Hela kuitafuta mpake uipate nitabu, utahangaika wee utaipata kwa tabu. Hela ukimkpoesha mtu kukulipa ni tabu, utadai weee utakuja kulipwa kwa tabu. Hela ukiwa na shida ukimuomba mtu atakupa kwa taabu, utambembeleza wee atakupa baada ya siku...
  4. Uta Uta

    Tetesi: Mlipuko watokea Songas Somanga

    Habari wanajamvi? Kuna habari zinadai kuna mlipuko wa moto maeneo ya Songas Somanga. Inadaiwa wafanyakazi wote wamekimbia eneo hilo. Inadaiwa kuna mungurumo mkubwa unaosikika zaidi ya kilomita 10 kutoka kituo hicho. Tunaomba walio karibu na kituo hicho maeneo ya Somanga na Njia nne mutujuze...
  5. Uta Uta

    Kumlinda mwanamke ni sawa na kuliziba jua na ungo

    Habari wanajamvi? Kila kukicha kumekuwa na malalamiko wanaume wanatendwa, na wengi wamaekuwa wakitafuta dawa ya kuthibiti mademu au wake zao. Sasa ndugu zangu, kumlinda mwanamke ni sawa na kuliziba jua na ungo ili lisiaangaze. Huwezi kumzuia mwanamke kufanya yake labda aamue mwenyewe kutulia...
  6. Uta Uta

    Hali ya bahari yarejea kuwa shwari

    Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja kutoka Mwanza na mwingine kutoka dsm wamenusurika ingawa wamejeruhiwa vibaya. Hata hivyo hali ya...
  7. Uta Uta

    Kwa zama hizi kuchukua tahadhari ni muhimu jamani

    habari wanajamvi? Siku hizi kuna katabia cha watu kurahisisha mambo kwa sana. Unakuta mtu mmejuana juana tu kimtindo basi unashawishika kirahisi kumpa siri zako zote, unamtumia mpaka picha zako na video za faragha kirahisi tu kisa kakuita baby. Zama zimebadrika jamani, zama hizi watu si...
  8. Uta Uta

    Mada maalum kwa walio katiaka ndoa

    Habari wanajamvi? Sisi tuliopo katika ndoa tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili ambazo baadhi husababisha ndoa kuvunjika. Naona itakaa poa kama sisi tulio katika ndoa tukajadiliana, kupeana ushauri na kushea pamoja raha na shida zetu. Inawezekana baadhi yetu wanapata raha wengine...
  9. Uta Uta

    Vyuo vikuu tumieni mfumo wa division hizi GPA zinatuchanganya wazazi

    Habari wanajamvi? Wazazi siku hizi tumekuwa na hamasa kubwa ya kusomesha watoto wetu hadi elimu ya juu, tatizo kubwa wazazi wengi aidha tumeishia la saba au hatukusoma kabisa. Sasa matokeo ya watoto wetu yakitoka unakuta tu cheti cha matoto kimeandikwa "pass with honours" sasa mimi kama mzazi...
  10. Uta Uta

    KUBADILI MADEMU KILA KUKICHA SI KIGEZO TENA CHA URIJALI

    Habari wanajmvi? Miaka michache huko nyuma ili wazazi wajue mtoto wao ni rijali ilikuwa kumuona mtoto wao akibadili mademu. Asikuambie mtu wazazi wenye watotot wa kiume wanafurai wakisikia mtoto wao anagegeda hata jirani akipeleka kesi mtoto wake wa kike kagegedwa wataamua kizushi tu moyoni...
  11. Uta Uta

    ITATUCHUKUA TENA MIAKA 39 KURUDI AFCON

    Habari wanajamvi? Kwa bahati mwaka huu tumefanikiwa kuingia AFCON ili hali mi mpaka sasa sijui tumpe nani sifa za mafinikio hayo ya kuiwezesha timu yetu kwenda huko kwa mafarao. Nashindwa wa kumpa pongezi kwa sababu kwanza timu yetu imeshindwa hata kuifunga Lesotho achilia mbali Kenya, hii...
  12. Uta Uta

    Haya magonjwa yanatukatisha tamaa

    Habari wanajamvi? Tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kutokana na magonjwa ila mbaya zaidi unakuta magojwa fulani yanawandama zaidi tabaka fulani. Kuna huu ugonjwa wa figo na kifua haya magonjwa yanaonekana kuwasumbua sana matajiri na wasanii. Matajiri wengi wamekufa kwa tatizo la figo na...
  13. Uta Uta

    MSAADA: Mke wangu anaupungufu wa nguvu za kike

    Habari wanajamvi? Mambo yasiwe mengi niingie kwenye mada, mke wangu anatatizo la upungufu wa nguvu za kike (yaani ni flat screen) naomba msaada ni dawa gani atumie ili kuongeza nguvu za kike ambayo haina madhara kiafya. Nitashukuru sana nikipata msaada wenu, siombi ya matibabu naomba kujua jina...
  14. Uta Uta

    Haya sasa kazi kwenu wazee fashoni

    Habari wanajamvi? Wale wadada watanashati wapenda fashoni ambao kila fashoni ikitoka hawataki iwakose, hii hapa imetoka kwa ajili yenu. cc Numbisa Cassie
  15. Uta Uta

    Wanaume mda mwingine tunajisaliti wenyewe

    Dhumuni kubwa la mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume ni kugegedana hayo mengine ni mbwembwe tu. Sasa kama mwanume ukishindwa kumridhisha mke/mpenzi wako kwa sababu za kizembe tu hapo utakuwa umejisaliti. Hasa unakuta mwanaume umeajiachia unakuwa bonge bonge hufanyi mazoezi kutwa kuzunguka tu...
  16. Uta Uta

    NATAKA KUOA MFANYAKAZI WA JF

    Habari wanajamvi? Nimevutiwa sana na utendaji na umakini wa wafanyakazi wa JF, kama kuna mfanyakazi wowote aidha invisible, mods, admin nk wakike ambaye yupo singo anitafute PM' Kwani hawa wafanyakazi hawna hasira, wavumilivu, wapo makini sasa nikimpata mmoja hata ndoa yetu na familia itakuwa...
  17. Uta Uta

    Zamani ilikuwa raha sana

    Habarini wana cit chat Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo tarehe 25 July mkutane kituo cha basi (mfano Manzese) yeye barua anaipata mwezi wa nne, anakujibu...
  18. Uta Uta

    Wadada kuweni makini na ofa

    Wadada hasa wa mjini wanapenda sana ganda la ndizi. Unakuta dada hata kama anao uwezo wa kununua kinywaji hanunui anasubiri tu ofa ili hela yake ikae tu isitumike. Sasa jana kuna dada mtaani kapoteza simu kila anaemuuliza umeibiwaje anajibu kisanii sanii, ukimhoji zaidi anakuwa mbogo balaa...
  19. Uta Uta

    chaputa na kununua K hakuwezi kwisha hata siku moja

    Habari wanamkeka? Wanaume akiri zikihamia kichwa kidogo, mwili wote unasizi kufanya kazi, mpaka kichwa kidogo kiflashiwe. Sasa unakuta siku hiyo ndio akili zishahama unarudi nyumbani kwa mama mwenye nyumba mvua imenyesha, unampigia simu mchepuko wako anakwambia nyumbani kuna wageni labda...
  20. Uta Uta

    Wake zetu nendeni na wakati

    Habari wanajamvi Hivi sasa tupo karne ya sayansi na teknolojia, na sasa tupo kwenye 4G tunaeelekea kwenye 5G. Ila wake zetu bado wako analogia hasa linapokuja suala la kugegedena. Unakuta mwanamke anang'ania tu kifo cha mende anakwambia mi ndio nnayoiweza, sasa siku hizi watu wanapiga hadi...
Back
Top Bottom