Ina nikumbusha mzee mmoja mwanga alikatwa mapanga ya kutosha ila hakufa mpaka aliposalimu amri na kuwaambia wakakate mti uliokatikati ya shamba lake. Ila ilikuwa muda kidogo
Ukiwa mkristo namaanisha mkristo kweli ukachangamana na wasio wakristo (mfano Timu ya mpira) then wakataka kuleta ndumba huwa hazifanyi kazi. Kuna mtu alitolewa kwenye timu unless asilimu ndo apewe namba. Jamaa aligoma alivunja mkataba na leo ni mkulima wa mpunga.
Wakuu habari.
Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
Simple Statistics. Kama shule 2 A, B zina wanafunzi wa 2 kila moja mfano. Shule ya kwanza matokeo div 1 za 9. Hii ina wastani wa 9. Shule ya pili. Div 1 moja ya 7 na div 2 ya 10. Hii ina wastani wa 8.5.
Kwa hio shule B inaongeza kuliko shule A.
Ni sawa kuniita mpuuzi. Ila IT limetumika kama general. Target ilikuwa programmers. Sio kila Cs anaweza programming. Ni field pia. Ila shida ni pale unajiita programmer then hujui hata simple solution.
UDSM/UDOM/DIT developer? Una utani wewe. Hao wote wanalalamikiwa si wa huko huko? Yaani tha max sasa ivi naweza lipa kwa IT wa TZ ni 200,000 tu ya bando ya kugoogle na soda.
[emoji23][emoji23]IT wa TZ ni mandezi kweli. Hii field inatakiwa uwe consistent na uwe una improve product daily. Walishindwa hata kuja na wazo la kutumia barcode unascan unatembea. Naanza kuamini kuwa ni wa hindi hawa waliunda hio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.