Search results

  1. user037

    Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
  2. user037

    msaada tafadhali wataalam

    dogo langu amepata 1.8 PCB anataka kusoma MD. Atapata chuo?
  3. user037

    Shule za vipaji maalum kidato cha tano

    Ni vigezo gan hutumika kuwapanga wanafunzi wa kidato cha tano kwenye shule za vipaji kama Ilboru, Mzumbe, Kibaha etc. Kwa yeyote anayefaham tafadhal naomba unifahamishe. Natanguliza shukran.
  4. user037

    msaada, siku ya kuzaliwa

    Napata shida kidogo kwa hawa watu waliozaliwa FEBRUARY 29. Je, wanasherehekea vipi siku zao za kuzaliwa ndani ya miaka ambayo february 28 ndiyo mwisho wa mwezi?
Back
Top Bottom