si wanasherehekea kila baada ya miaka minne au wewe unafikirije, usifanye vitu viwe complicated sana ndugu utaumia kichwa bure!tatizo ni hili "Wanatumia tarehe gani kama februar ikiishia tarehe 28"
yaani sijaelewa we unataka nini haswaa, hao si wanakula bata deile, birthday haiwasumbuiJe, kwa wale watoto wa kishua wapenda sherehe hutumia tarehe gani?
Wasubiri mwaka unaofuata wenye tarehe hiyo.Hiyo ni kwa upande wako. Lakini kwa wale wanaopenda kusherehekea halafu tarehe imerukwa inakuaje?
atafanya belated birthdayTatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini
Tatizo langu nahitaji kujuzwa kuhusu ilo swala, maana linanipa tabu sana kuingia akilini
Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maishahivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo?
Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha.
Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa?Maendeleo tayari ninayo, ndio maana nafatilia mambo mengine ya maisha
Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?,hivi huna matatizo mengine zaidi ya hilo?
Fikiria mambo ya kimaendelea wewe siku zinasonga mbele na hazitorudi tena acha kutumia akili yako kuwaza vitu visivyo na manufaa yeyote katika maisha.
Muulize yeye anafanya nini kwenye uzi usio na manufaa?
Kwani wewe unapata manufaa gani kuchangia uzi kama huu ambao hauna manufaa?,
kati ya mleta mada na wewe nani mwenye matatizo zaidi?