Search results

  1. B

    data connection

    kwa nini wi-fi na data connection inajiwasha yenyewe? msaada wa kuizima
  2. B

    TECNO H5 na matatizo yake

    nina simu aina ya tecno h5 tatizo lake ni DATA CONNECTION ukizima huwa inajiwasha yenyewe . ukiweka off ndani sikunde kadhaha itakuwa/ on naombeni msaada wa kuzima data
  3. B

    Baba kaniachia haya

    BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE "Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani? labda hivi. 1.KUHUSU TAMAA ZAO. -Mwanamke yeyoteanaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa...
  4. B

    Mapenzi dah!? bora nini?

    lipi bora jamani kati ya wewe kumpenda sana mpenzi wako au yeye hakupende sana? naombeni msaada kwani hapa naanza kuona giza
  5. B

    Kwanini ubora wa elimu unashuka kila siku?

    Naomba kuliza kati hawa watu nne nani chanzo cha elimu kushuka Tanzania, watu hao ni mwanafunzi mwalimu Mzazi na serikali na nini suluhisho lake?
Back
Top Bottom