Mapenzi dah!? bora nini?

Baryona

Member
Dec 20, 2015
21
3
lipi bora jamani kati ya wewe kumpenda sana mpenzi wako au yeye hakupende sana? naombeni msaada kwani hapa naanza kuona giza
 
mi naona bora kucheza piano tiles tu, krismas hii unajipigia zako jingle bell swaaaaf kabisa
 
lipi bora jamani kati ya wewe kumpenda sana mpenzi wako au yeye hakupende sana? naombeni msaada kwani hapa naanza kuona giza

inaonesha wewe n wa kusini mwa TZ (lindi /mtwara marekebisho kwenye maada "hakupende sana" kiswahili chake fasaha "AKUPENDE " hyo herufi H mtoa maada unashindwa kutofautisha unachokitamka(chenye lugha mama/ya makabila na unachokiandika)
 
:(:(:(:(:(
 
Attachments

  • 1450843841741.jpg
    1450843841741.jpg
    17.1 KB · Views: 113
inaonesha wewe n wa kusini mwa TZ (lindi /mtwara marekebisho kwenye maada "hakupende sana" kiswahili chake fasaha "AKUPENDE " hyo herufi H mtoa maada unashindwa kutofautisha unachokitamka(chenye lugha mama/ya makabila na unachokiandika)

kwenye maada ": kweli usipende kukosoa sana ndugu
 
Back
Top Bottom