Search results

  1. juliano norman

    Soko la choroko

    Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
  2. juliano norman

    Soko la ufuta na choroko

    Mwenye kujuwa soko la choroko zinanunuliwa bei gani na wapi wananunua maana huku mtwara hali si shwari
  3. juliano norman

    naomba ushauri kama naweza nikajiunga na chuo cha ualimu?

    nimerudia mtihani wa kidato cha nne kwa masomo tano na kupata ufaulu wa c,c,b,d,na d,naombeni ushauri nina sifa ya kujiunga na chuo cha ualimu?
  4. juliano norman

    natafuta mfadhili

    kwa jina naitwa juliano norman(24),ni mkazi wa mtwara,mimi ni wa kwanza katika familia ya watoto watatu,kwa ujumla mimi na ndugu zangu ni yatima wa kufiwa na wazazi wote,kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne nilichohitimu katika shule ya sekondari mtangalanga iliyopo km 3 kutoka newala...
  5. juliano norman

    natafuta mfadhili

    kwa jina naitwa juliano norman(24),ni mkazi wa mtwara,mimi ni wa kwanza ndani ya familia yetu na kufuatiwa na ndugu zangu wawili,mwaka 2005 tulifiwa na mama yetu na kuachwa na baba tu,maisha yalikuwa magumu zaidi kwani jamaa wa upande wa mama walitutenga,wakati mama katutoka mwaka 2007...
  6. juliano norman

    Natafuta mfadhili wa kunifadhili

    Kwa jina natambulika kwa jina la Juliano Norman,ni mkazi wa Newala katika kijiji cha Nambunga ni yatima niloachwa na ndugu zangu wakati nataka kusoma kidato cha tano lakini uyatima na ukata wa kipato ndio ulonifanya nishndwe kuendelea na masomo. Kwa yeyote atakayekuwa tayari kunifadhili...
  7. juliano norman

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana mwenye miaka 24 nimehtmu kidato cha4 na nikafaulu ila kutokona na kufiwa na wazazi wangu wote ikanibidi nishindwe kuendelea na masomo hvo nipo hadharani kuomba kazi mie ni mchapakazi na najituma na sichagui kazi isipokuwa kazi haramu tu me nipo tayari mwenye kazi tuwasiliane...
  8. juliano norman

    Nahitaji kujiunga na chuo cha ualimu

    mie ni kijana ambae mwenye umri wa miaka 24 na nilibahatika kurudia mtihani wa kidato cha nne na kupata c,c,b,d,d wakati nawaza kuendelea na elimu ya kidato cha 5 baba angu mzazi alifariki na kuniacha mimi na ndugu zangu wawili,baada ya kutokwa na baba nkawaza niombe chuo cha ualimu hivyo...
Back
Top Bottom