Natafuta kazi

Dec 17, 2015
41
4
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 nimehtmu kidato cha4 na nikafaulu ila kutokona na kufiwa na wazazi wangu wote ikanibidi nishindwe kuendelea na masomo hvo nipo hadharani kuomba kazi mie ni mchapakazi na najituma na sichagui kazi isipokuwa kazi haramu tu me nipo tayari mwenye kazi tuwasiliane kupitia 0784071259 napatikana Mtwara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom