Search results

  1. cognition

    Asanteni JamiiForums, nimepata simu yangu

    Heshima mbele wakuu, Nipende kutoa mrejesho, wiki iliyopita nilifanikiwa kufika katika ofisi za Jamii MEDIA kwa lengo la kwenda kuchukua simu.Nilifanikiwa kuonana na wahusika na simu nilipewa.Asante sana mkuu Maxence melo na viongozi wenzako, Mzigo huo hapo, samahanini sana JF kwa kuchelewa...
  2. cognition

    Chuma chakavu

  3. cognition

    Athari za vita

    hao ukikutana nao uwanja wa vita ukawaonea huruma wanakumaliza wenyewe
  4. cognition

    Maisha yakiwa magumu

  5. cognition

    Twanga photoo

  6. cognition

    Huyu mtoto ana kipaji

    wadau oneni uwezo wa huyu kijana,kuna haja ya mitaala ya elimu africa kupitiwa upya ili watoto wanaonesha uwezo kama huyu kupewa mafunzo maalum ili waje kuzisaidia nchi zao baadae...
  7. cognition

    Unamjua Mtanzania aliyewahi kuchezea Borussia Dortimund

    Anaitwa Kassim Manara...fundi wa mpira aliyecheza Borussia Dortumund miaka ya 1970...Olympiakos wakamtaka wakashindwana naye maslahi. source Edo kumwembe facebook page
  8. cognition

    Msaada: Timberland boot zinasafishwaje?

    Wakuu, Naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timberland boot,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana rangi na vidoa doa ambavyo havifutiki.
  9. cognition

    Mahakama yaahirisha kesi ya Victoire Ingabire

    MAHAKAMA ya haki za binadamu barani Afrika leo imeahirisha kesi ya mwanasiasa mwanamama kutoka nchini Rwanda Victoire Ingabire baada ya serikali ya Rwanda kuwasilisha barua mbele ya mahakama hiyo ikitaka ushirikiano kati ya Rwanda na mahakama hiyo iliyoasisiwa na umoja wa Afrika usitishwe...
  10. cognition

    HIKI KIFURUSHI CHA VODA NI KWA AJIRI YA WATU GANI?

    kuna kifurushi cha 200 cha voda kuna baadhi ya line kinakubali wengine kinakataa'yaaani 200 unapata mb 100 sms 1000 na dakika 100 kwa siku saba,just dial *149*68# uone maajabu
Back
Top Bottom